Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo.
Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin Kijiri, beki wa kulia wa zamani wa KMC na sasa yuko Fountain Gate.
Kevin Kijiri ni mrefu, ana spidi kuliko mnyama ngiri, ana nguvu, anapanda na kushuka kama marehemu Rafael Paulo ama R.P.
Kevin Kijiri hana tofauti na yule wa kulia wa Mamelod Sundowns.
Huyu siku akisajiliwa tu Simba basi anakwend Stars moja kwa moja.
Israel Mwenda ameshindwa kumudu nafasi hiyo, halafu majeruhi yamekuwa yanamuandama sana
Duchu naye bado, hawezi kuhimili mikikimikiki.
Kevin Kijiri, mm chawa lakini kwa beki huyu ambaye anacheza kama winga wa kulia niko tayari kumsemea mahali popote pale duniani. Nitafurahi sana viongozi wangu wakinisajilia huyu mwamba.
Mwamba mwingine ni huyu Kevin Nashon, huyu nimekuwa nikiandika sana lakini sieleweki, huyu anamzidi Mzamiru kwa mambo mengi, hana pasi mkaa huyu dogo, anakaba hadi Aziz Ki anaomba po kwa Arajiga.
Ni mzoefu na anajua kuchezesha wenzake.
Viongozi, naomba mpokee ushauri huu kwa roho safi kabisa