Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
TFF wana mamlaka ya kutangaza Uwanja wa mchezo endapo mwenyeji hajaweka wazi wapi mechi itapigwaSasa mbona Mwenyeji wa Mchezo hajatangaza uwanja na tiketi hajauza?
Kutokana na ukubwa wa mechi hii (kwa viwango vya CAF), uwanja pekee unaweza kutumika ni Mkapa stadiumSasa mbona Mwenyeji wa Mchezo hajatangaza uwanja na tiketi hajauza?
Watajua wenyeweKlabu ya Simba imepokea barua rasmi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ikiruhusu timu hiyo kufanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, siku ya Jumamosi, tarehe 14 Juni 2025.
===
TAARIFA YA MAZOEZI RASMI YA TIMU TAREHE 14 JUNI 2025
Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
2. Wizara imepokea barua yako yenye Kumb. Na. SSC/WUSM/09/06/2025/01 ya tarehe 09 Juni, 2025 kuhusu taarifa ya mazoezi rasmi ya timu ya Simba SC tarehe 14 Juni, 2025.
3. Kwa muktadha huo tunawafahamisha kwamba uwanja upo tayari kwa mchezo huo na Wizara haina kipingamizi na timu kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi kwa mujibu wa kanuni. Aidha, Wizara inapenda kusisitiza kwamba itaendelea kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vilabu vyote nchini wanaoomba kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa na vingine vyote vilivyopo chini ya Wizara bila ya kukwamisha kwa namna yeyote matumizi ya viwanja hivyo.
4. Aidha, mnakumbushwa kukamilisha taratibu zote za maandalizi ya mechi ikiwemo kushiriki pre-match meeting ambayo huratibiwa na wasimamizi wa ligi kwa mujibu wa taratibu za ligi.
TFF ishatangaza au Bodi ya ligi waishatangaza ? Uwanja,Viingilio na Waamuzi ?TFF wana mamlaka ya kutangaza Uwanja wa mchezo endapo mwenyeji hajaweka wazi wapi mechi itapigwa
Sio Uwanja tu hata marefarii hawajatajwaSasa mbona Mwenyeji wa Mchezo hajatangaza uwanja na tiketi hajauza?
Mauzauza mengi sana hii TZSio Uwanja tu hata marefarii hawajatajwa
Uwanja ulikuwa unajulikana tangu walipotangaza tarehe ya mechi, angalia ratibaTFF ishatangaza au Bodi ya ligi waishatangaza ? Uwanja,Viingilio na Waamuzi ?
Hahahaha,ndio maana wizara wamewaruhusuTunasubiri simu ya Kigogo ya kuzuia mazoezi ya Simba:
Simba ni timu kubwa lazima ipewe heshima inayostahili:
Hahahahaha,nawaonea huruma watanzania ,ujinga wao ni Fursa kwa wajanjaMauzauza mengi sana hii TZ