Nyie ni mazuzu kweli😂😂Kama ameamua kuzinunua yeye mwenyewe ticket na kutokuziuza shida ni gani?
Kuwa na D mbili,wizara Ndio inaandaa mchezo?,Wizara Ndio itacheza uwanjani wanasimba ni MDA wenu kuchoma Mafuta HATUCHEZIIIKlabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC.
Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye mchezo huo ili kuhakikisha kanuni za Ligi Kuu zinafuatwa na kutimizwa. Barua kutoka Wizarani kwenda Simba SC imeandikwa Juni 9, 2025.
===
TAARIFA YA MAZOEZI RASMI YA TIMU TAREHE 14 JUNI 2025
Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
2. Wizara imepokea barua yako yenye Kumb. Na. SSC/WUSM/09/06/2025/01 ya tarehe 09 Juni, 2025 kuhusu taarifa ya mazoezi rasmi ya timu ya Simba SC tarehe 14 Juni, 2025.
3. Kwa muktadha huo tunawafahamisha kwamba uwanja upo tayari kwa mchezo huo na Wizara haina kipingamizi na timu kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi kwa mujibu wa kanuni. Aidha, Wizara inapenda kusisitiza kwamba itaendelea kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vilabu vyote nchini wanaoomba kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa na vingine vyote vilivyopo chini ya Wizara bila ya kukwamisha kwa namna yeyote matumizi ya viwanja hivyo.
4. Aidha, mnakumbushwa kukamilisha taratibu zote za maandalizi ya mechi ikiwemo kushiriki pre-match meeting ambayo huratibiwa na wasimamizi wa ligi kwa mujibu wa taratibu za ligi.
Huu ndo ubaya ubwelaUbaya ubwela tuone ukubwa wao
Ni ukweli simba ina-kaukubwa flani na inapewa uspecialYaani ukiweka ushabiki pembeni kwenye hizi timu mbili unaona Simba ina kaukubwa flani hivi na inapewa kau-special..
Ni ukweli wanamsikiliza Ali kamweWatu wamemuangalia na kumsikiliza AliKamwe wamemuona kama ka mbwa tu, ka puppy kalikotumwa kubwekabweka. Hamna mtu amekuwa na tyme naye. Wanamsubiri aliye nyuma ya huyo mbwa, aje front aache kujificha kwenye sketi
AliKamwe alikuwa anasema Yanga imebakiza mechi mbili tu kumaliza ligiNi ukweli wanamsikiliza Ali kamweView attachment 3367113
Mechi inaendeleaje hukoSisi midomo fc tulishapiga domo zetu.. 1) hatuchezi mechi tatu za ligi tff + bodi watupe alama zetu 9 za kutocheza. 2) Na crdb fainali hatuchezi na watupe ubingwa wa FA na zawadi ya millioni 250 za ubingwa.
Amepewa alama 3 na magoli 3, baada ya UTO kutia unyoya.Simba I mecheza leo, matokeo yakoje?
Matokeo ya wapi?Mtupe matokeo yamekuaje huko leo
Wapewe na Bibi yako au?Simba sasa wapewe pwenti 3 na magoli matatu.
Vipi kijana wa Mangungu, umeshauona tayari huo ukubwa wake; au bado unaendelea kusubiri kuuona?Ubaya ubwela tuone ukubwa wao
Hawaamini kilichotokea...Yanga ni dude kubwa....mpaka karia anataka kubwaga manyanga....Tulokuwa tunataka wachomoke wamejichomoa wenyewe, Simba si walikuwa wanataka game haya tarehe 25 hiyo hapo...Vipi kijana wa Mangungu, umeshauona tayari huo ukubwa wake; au bado unaendelea kusubiri kuuona?