Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

Watu wamemuangalia na kumsikiliza AliKamwe wamemuona kama ka mbwa tu, ka puppy kalikotumwa kubwekabweka. Hamna mtu amekuwa na tyme naye. Wanamsubiri aliye nyuma ya huyo mbwa, aje front aache kujificha kwenye sketi
Bila shaka hapa ilikuwa ni kabla ya mauza uza ya watu wenu wa Bodi ya ligi kujiuzulu kwa lazima, na pia kuahirishwa tena kwa huo mchezo mara baada ya viongozi wa vilabu kukutanishwa na Chura Kiziwi ili tu wamuongezee ujiko wa kisiasa.
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Watu wamemuangalia na kumsikiliza AliKamwe wamemuona kama ka mbwa tu, ka puppy kalikotumwa kubwekabweka. Hamna mtu amekuwa na tyme naye. Wanamsubiri aliye nyuma ya huyo mbwa, aje front aache kujificha kwenye sketi
duh unasemaje nogj.
 
Mbumbumbu bana 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…