Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Mbet.jpg

Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.

Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
 
Kuanzia Leo sibet tena sport pesa kwanza nilikuwa ngumu kula from now nafuta application yao na nitawambia sitaki mnitumie meseji zenu za fixture sasa nipo Mbet ila chakuwapa ushauri Mbet waboreshe odd zao tu wengine tumehama rasmi sportpesa
 
Bora tubaki wenye akili na hela zetu huku sport pesa
 
BREAKING NEWS!!
Klabu ya Simba SC
🇹🇿
imetangaza kuingia Mkataba na Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya M-Bet juu ya kudhaminiwa na Kampuni hiyo Kwa mda wa Miaka Mitano.

Mkataba huo una thamani ya Shilingi Biilioni 15 za Kitanzana ambapo Klabu hiyo itakuwa inapokea kiasi Cha Shilingi Bilioni 3 Kwa Mwaka.

HONGERA SANA.....SIMBA SC
🇹🇿
.HATUA KUBWA SANA HII.....BRAND KUBWA na Mipesa Mikubwa
 
Back
Top Bottom