Kidindamahaha
Member
- Apr 27, 2022
- 45
- 43
Bora hv kwanza sport pesa ilikuw na uyanga mwingNyie ni mazuzu, Simba wameachana na sportspesa na badala yake ndio huyo M-BET
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hv kwanza sport pesa ilikuw na uyanga mwingNyie ni mazuzu, Simba wameachana na sportspesa na badala yake ndio huyo M-BET
OkJumatatu ndio watafafanua
Endelea kumsakama mtu mwenye utajiri wa Trilioni 3.6, pengine kumsakama kwako kutasababisha siku moja afirisike alingane na wewe. Entirely witchcrafts spirit!Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Nzamini ndiyo nini sasa wewe?Nzamini ndiyo nini ulisomea shule ujinga, wakolo bana
Yaani mkataba unasainiwa julai 1 halafu taarifa zaidi inatolewa baada ya mwezi mmoja
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.
Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
Walahi nyani wa pori la Utopolo mnatia aibu sana. Hivi umeelewa kweli hii taarifa.Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Source ya taarifa yako?BREAKING NEWS!!
Klabu ya Simba SCimetangaza kuingia Mkataba na Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya M-Bet juu ya kudhaminiwa na Kampuni hiyo Kwa mda wa Miaka Mitano.![]()
Mkataba huo una thamani ya Shilingi Biilioni 15 za Kitanzana ambapo Klabu hiyo itakuwa inapokea kiasi Cha Shilingi Bilioni 3 Kwa Mwaka.
HONGERA SANA.....SIMBA SC.HATUA KUBWA SANA HII.....BRAND KUBWA na Mipesa Mikubwa![]()
Umewaza mbali sana, na ndivyo ilivyoMkataba wa Simba na M -bet
Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.
Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo
Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
Mkataba wa Simba na M -bet

Anasema Yanga wote ni mataahiraKwahiyo “Mudi” anasemaje??
Kuna dalili ya Sportpesa kuingia mkataba na yanga maana Tarimba Abbas alionyesha dalili hizo wakati Yanga imechukua moja ya tajiSportpesa wameshindwa kufika dau, karibu mbet kampuni yangu ya zamani ya kubet sasa nafufua account yangu tena
Anasema misukule wa jiesiem ni hamnazo.Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Kiongozi ume mind kabisaKuanzia Leo sibet tena sport pesa kwanza nilikuwa ngumu kula from now nafuta application yao na nitawambia sitaki mnitumie meseji zenu za fixture sasa nipo Mbet ila chakuwapa ushauri Mbet waboreshe odd zao tu wengine tumehama rasmi sportpesa
Sportpesa anajitoa na yanga piaMkataba wa Simba na M -bet