Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Si tulisema TIK TOK ndio tusaini nao imekuaje Tena m bet makanjibai wenzake waingie mkataba nao?

Kuna mwamba alikula m 25 kupitia mbet kumlipa walisumbuana had gaming board iliingilia kati ili alipwe

Si kwa ubaya watuoneshe mkataba wa bei gani walioingia
 
Ni kawaida tu hata Man U kila walipokuwa wanabadili wadhamin mfano (CHEVLOLET- Teamviewer) watu walikuwa na mtazamo kama wako.

Chelsea nao wakati wanahama kwa SAMSANG watu walijua jersey zitakua hovyo.
SAMSANG??? Ndio kitu gani hicho?
 
Ni sahihi ila kuna mwana Simba mmoja humu ndani change formula anadai eti kuwa Simba imeanika kila kitu, Nawakati sio kweli. Lakini kuna maswali najiuliza kupitia hili;

Je wamesaini mkataba kisha wameacha sehemu ya figure? Au wamesaini mkataba uliokuwa na figure ila wamekubaliana kuhaririwa endapo Yanga watapewa pesa nyingi na Sportpesa basi figure itabidi ibadilishwe?
Inamaana simba hawawezi kufanya mambo yao bila yanga?
 
Basi kulikuwa hakuna haja ya kuvaa hata hiyo Logo ya M-Bet kama bado hamjafikia makubalio yoyote ya kimkataba kati yao

Wangevaa T-shirt zao plain bila mdhamini mpk hapo watakapokubaliana kila kitu

Kitendo cha kuvaa nembo mdhamini bila makubaliano yoyote kukamilika,sio utaratibu mzuri wa uendeshwaji wa timu kisasa ila timu inaendeshwa kwa mihemko
Watu walivaa jiesiemu na hawakulipwa hata mia, chezea bongo wewe
 
Yaani wewe graduate kapuku usie na kazi maalumu ndo uwe na watu???
Oneni hii ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tiki toko imeishia wapi [emoji23][emoji23]
giphy.gif


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Si tulisema TIK TOK ndio tusaini nao imekuaje Tena m bet makanjibai wenzake waingie mkataba nao?

Kuna mwamba alikula m 25 kupitia mbet kumlipa walisumbuana had gaming board iliingilia kati ili alipwe

Si kwa ubaya watuoneshe mkataba wa bei gani walioingia
Nyinyi mkataba wenu na Spesa mliwahi kuuonyesha ? Hivi kwanini huwa mnademand vitu ambavyo hata nyinyi hamjawahi kufanya?

Kwahiyo M-bet ilishindwa kulipa 25M hivyo mkataba wa Mbet na Simba Sc hauwezi kuzidi 25M si ndio? [emoji23]

Baki na hayo mavi yako kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wa Simba unasoma bilion 2.5 Kwa mwaka. Kwa miaka mitano Simba watavuna Bilion 12.5.
 
Mkataba wa Simba unasoma bilion 2.5 Kwa mwaka. Kwa miaka mitano Simba watavuna Bilion 12.5.
Acha kupotosha, makubaliano yao ni kuweka wazi tarehe 1 August. Kumbuka Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa, na Tarimba aliweka wazi hilo

 
Wewe ni miongoni mwa mapooza wengi mliojaa hapa nchini! Taarifa rasmi ya club imetoka kuwa timu imeingia mkataba na Kampuni ya M-Bet,kwa muda wa miaka mitano,wenye thamani ya B.15 ambao kila mwaka club itakuwa ikilipwa B.3. Taarifa imekamilika ikieleza kila kitu,na pia wakasema ufafanuzi zaidi utatolewa tarehe 1 August. Sasa hapo nini ambacho ujaelewa? Umetajiwa mpaka figure!! Mijitu kama wewe sidhani kama mlikuwa mnaelewa chochote darasani!! Nyie ndio kichwani mmebeba maziro tu!! Imagine majitu kama wewe mpo wangapi nchini?? Bure kabisa.
Hongereni mkuu
 
maon yangu sidhan simba walikuwa na mpango wa kutangaza mapema.. kumbuka mambo ya mikataba usidhan ka vile unatoq mahari.. kuna taratibu nyinhi zinazofanya utangazwaji uchelewe .. mi naona simba wamelazimika kumtangaza mapema sababu team inasafiri na kits za safari zitakuwa na logo ya mdhamin mpya so kuepuka sintofaham watu wakiona kits za simba na logo za mbet ndo maana wakaamua kutangaza mapema ila press wataifanya baada ya mambo mengine kukamilika ndo maana wameweka August 1.

hawawez kuchelewa kutangaza ili kujua yanga atapata ngap kwa sportpesa maana haiwahus tena kumbuka nao walikuwa wana negotiate na sportpesa so kuna uwezekano wanajua kiasi kilichowekwa mezan na sportpesa kwa pande zote mbili.. so hawana haja ya kufoji figure..

mwisho ukumbuke kwenye mapato ya simba kuna kodi ya serikali haweza kufanya ujinga wa kutaja kiasi kikubwa ili kuwaridhisba mashabili kumbe wamepokea kdg itawapa shida kwenye ukaguzi

jaman mambo mengine hayaendeshwi kisiasa au kishabiki..
bro una akili sana.. njoo canada tule kitimoto
 


Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.

Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
Mikataba ya kimagungo full upigaji wa wahindi
 
mkataba wa timu ila kiasi cha pesa anajua MO 😀 😀 😀 hii timu shida sana ndo maana mo katoa bil 20 hewaa kuinunuaaa
 
Back
Top Bottom