Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nani amesaini kwa niaba ya Simba , Kaduguda , MO au Babra ?
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.
Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app