Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu



Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.

Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
Nani amesaini kwa niaba ya Simba , Kaduguda , MO au Babra ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Maoni ya mdau gani huko PM, vipi kama huyo mdau nae ana akili kama zako? Yani seriously unataka watu wazima na akili zao humu waamini unachokisema kwakua kuna mdau wako kakutumia maoni PM?

AU na wewe nae unataka kujifanya kuwa una connection kutoka bodi ya wakurugenzi na viongozi wa Simba Sc, kama mwenzako demigod ?

Hebu acheni utoto[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kunifurahishaaa. Umemuwezea haswaaa.
 
Niamini mm Mzee wangu.....watu tuna watu wetu kwenye hizi timu za kariakoo
Wee mtu mwenyewe upo kwa shem wako kutwaa kushinda JF, hapo watu uwatolee wapi? Hebu hapa sio FB? jishikilie wee kijana. Lol
 
Maaaskini MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu Wamebandua Sportpesa Wameweka M-Bet..Wakati Hawa Huwa Wanajisifu Mambo Yao Wanafanya Kiuweledi Hii Vp Tena?? [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220715_082848.jpg
IMG_20220715_083458.jpg
 
Basi kulikuwa hakuna haja ya kuvaa hata hiyo Logo ya M-Bet kama bado hamjafikia makubalio yoyote ya kimkataba kati yao

Wangevaa T-shirt zao plain bila mdhamini mpk hapo watakapokubaliana kila kitu

Kitendo cha kuvaa nembo mdhamini bila makubaliano yoyote kukamilika,sio utaratibu mzuri wa uendeshwaji wa timu kisasa ila timu inaendeshwa kwa mihemko

Kwa taarifa m bet ndio anadhamini kambi huko Misri, hivyo ilikuwa muhimu kuvaa jezi mpya.
 
Imenibidi kurudi kuangalia tena hiyo taarifa, sijaona mahala inatamkwa bil 15, kilichotamkwa ni miaka 5. Au kuna taarifa tofauti?

Hawajataja ili kumuweka tarimba kwenye mtego. Maana naye aliwafanyia uhuni.
 
Mkuu mbona makasiriko ni mengi hasa kwa mm Jobless

Dogo wewe kama kijana pambania hali yako ya kiuchumi acha ushabiki maandazi. Yaani mtu huna Hata laki 3+ cash unashinda mitandaoni kupiga kelele za kiushabiki?? Hizo kelele waachie wale ambao wanaingiza pesa kupitia kelele hizo, wewe kama kijana mwenzangu ambao bado tunahaso (hustle), tushabikie mpira kama burudani (refreshment) hasa baada ya kuchapa kazi na kufunga mahesabu ya siku!!!
 
Dogo wewe kama kijana pambania hali yako ya kiuchumi acha ushabiki maandazi. Yaani mtu huna Hata laki 3+ cash unashinda mitandaoni kupiga kelele za kiushabiki?? Hizo kelele waachie wale ambao wanaingiza pesa kupitia kelele hizo, wewe kama kijana mwenzangu ambao bado tunahaso (hustle), tushabikie mpira kama burudani (refreshment) hasa baada ya kuchapa kazi na kufunga mahesabu ya siku!!!
Hata hivyo kijana hunijui wala sikujui,wala tusichoshane sana

Punguza kutoa ushauri kwa watu usio wajua hasa kwenye hii platform ya JF

Kila mtu ana hali yake ya maisha,ambayo yanamfanya ana survive ktk maisha yake
 
Back
Top Bottom