Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Sasa mkuu kwa akili za kawaida timu ya wanachama inaingiaje mkataba bila kutaja price figure za huo mkatabaNyinyi subirini muda wenu ufike muanze kuuliza zilpowekwa bila nyinyi kuonyesha mlipoweka zenu, hiyo ndo kazi yenu kubwa.
Hela za Simba Sc zitakuwa ni za kufoji ila zenu zitakuwa ni halali, ni kawaida kabisa.
Hizi timu zetu zisitutoe akili mkuu