Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini sasa huyu aliyeleta thread hakumalizia kila kitu mpaka hizo figure? Wewe hizo figure umezitoa kwenye chanzo kipi?Wewe ni miongoni mwa mapooza wengi mliojaa hapa nchini! Taarifa rasmi ya club imetoka kuwa timu imeingia mkataba na Kampuni ya M-Bet,kwa muda wa miaka mitano...
Acha kubwabwaja mkuu leta source ya hii taarifa yako coz taarifa ya Leo iliyotoka wala haina hizo figure ulizotajaWewe ni miongoni mwa mapooza wengi mliojaa hapa nchini! Taarifa rasmi ya club imetoka kuwa timu imeingia mkataba na Kampuni ya M-Bet,kwa muda wa miaka mitano...
Mimi nilisikia kauli ya Tarimba kuwa wataingia mkataba mnono na klabu ya YangaSportpesa anajitoa na yanga pia
Kupitia kwa mwenyekiti wa sportpesa tanzania ameahidi kuboresha Mara dufu mkataba mpya wa sportpesa na YangaSportpesa anajitoa na yanga pia
Baki ila sisi tunaenda kuisapoti timu yetu sisi hatuangalii uzuri bali tunaangalia anaeipa saport timu yetu na sisi tunampa saport utopolo ndio mbaki na iyo sport pesa yenuBora tubaki wenye akili na hela zetu huku sport pesa
Acha kubwabwaja mkuu leta source ya hii taarifa yako coz taarifa ya Leo iliyotoka wala haina hizo figure ulizotaja
Mkataba ni wa miaka mingapi, na una thamani ya kiasi gani cha fedha?
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya Sportspesa ambayo mkataba wake umefika ukingoni.
Mkataba huo ulisainiwa Julai 01 na taarifa zaidi juu ya udhamini huo zitatolewa Agosti 01, 2022.
Acha payopayo mkuuu,leta source ya taarifa yako kudhibitisha figure ulizotajaOna ulivyo lipooza hata akili ya kwenda kutafuta habari kwenye pages za timu husika ili kujiridhisha huna!! Mijitu kama nyie ni bure kabisa
Uliza na ww mkuu coz tukiuliza wengine tunaoneka vichaaaMkataba ni wa miaka mingapi, na una thamani ya kiasi gani cha fedha?
Au ndiyo kusema mashabiki hawatakiwi kufahamu kama ilivyo kwa zile bilioni 20?
Kwani wana Yanga huwa mwavaa za Simba?Bora hata sportpesa kwenye jezi inakaa vizuri..sio Mbet..jezi ya Simba zitakuwa kituko
Yanga yamejaa mapooza tupuOna ulivyo lipooza hata akili ya kwenda kutafuta habari kwenye pages za timu husika ili kujiridhisha huna!! Mijitu kama nyie ni bure kabisa
Huo ni mtego kwa watani waapoendelea kufanya negotiation za mkataba mpya na Sportpesa.Yaani mkataba unasainiwa julai 1 halafu taarifa zaidi inatolewa baada ya mwezi mmoja
[emoji23][emoji23][emoji28]Mudi kaenda kudhamini timu ya magongo huko punjabi
Ni kawaida tu hata Man U kila walipokuwa wanabadili wadhamin mfano (CHEVLOLET- Teamviewer) watu walikuwa na mtazamo kama wako.Bora hata sportpesa kwenye jezi inakaa vizuri..sio Mbet..jezi ya Simba zitakuwa kituko
Nyinyi subirini muda wenu ufike muanze kuuliza zilpowekwa bila nyinyi kuonyesha mlipoweka zenu, hiyo ndo kazi yenu kubwa.Mkataba wa Simba na M -bet
Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.
Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo
Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
Yaah hili halina ubishiKuna dalili ya Sportpesa kuingia mkataba na yanga maana Tarimba Abbas alionyesha dalili hizo wakati Yanga imechukua moja ya taji
Ni sahihi ila kuna mwana Simba mmoja humu ndani change formula anadai eti kuwa Simba imeanika kila kitu, Nawakati sio kweli. Lakini kuna maswali najiuliza kupitia hili;Huo ni mtego kwa watani waapoendelea kufanya negotiation za mkataba mpya na Sportpesa.