Kweli nyani ni nyani tu,mtaacha lini kubweka ka umbwa
Bora hata sportpesa kwenye jezi inakaa vizuri..sio Mbet..jezi ya Simba zitakuwa kituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata sportpesa kwenye jezi inakaa vizuri..sio Mbet..jezi ya Simba zitakuwa kituko
Source ya taarifa yako,kama huna chanzo.....it's just rubbishDogo sikia sportpesa walikuwa wanatoa bil 1.3 kwa mwaka
M-bet watatoa bili 3 kwa mwaka kwanini asipewe m-bet ?
Basi kulikuwa hakuna haja ya kuvaa hata hiyo Logo ya M-Bet kama bado hamjafikia makubalio yoyote ya kimkataba kati yaomaon yangu sidhan simba walikuwa na mpango wa kutangaza mapema.. kumbuka mambo ya mikataba usidhan ka vile unatoq mahari.. kuna taratibu nyinhi zinazofanya utangazwaji uchelewe .. mi naona simba wamelazimika kumtangaza mapema sababu team inasafiri na kits za safari zitakuwa na logo ya mdhamin mpya so kuepuka sintofaham watu wakiona kits za simba na logo za mbet ndo maana wakaamua kutangaza mapema ila press wataifanya baada ya mambo mengine kukamilika ndo maana wameweka August 1.
hawawez kuchelewa kutangaza ili kujua yanga atapata ngap kwa sportpesa maana haiwahus tena kumbuka nao walikuwa wana negotiate na sportpesa so kuna uwezekano wanajua kiasi kilichowekwa mezan na sportpesa kwa pande zote mbili.. so hawana haja ya kufoji figure..
mwisho ukumbuke kwenye mapato ya simba kuna kodi ya serikali haweza kufanya ujinga wa kutaja kiasi kikubwa ili kuwaridhisba mashabili kumbe wamepokea kdg itawapa shida kwenye ukaguzi
jaman mambo mengine hayaendeshwi kisiasa au kishabiki..
Wale jamaa wahun sana kanji huwa anachana mno sportpesaKuanzia Leo sibet tena sport pesa kwanza nilikuwa ngumu kula from now nafuta application yao na nitawambia sitaki mnitumie meseji zenu za fixture sasa nipo Mbet ila chakuwapa ushauri Mbet waboreshe odd zao tu wengine tumehama rasmi sportpesa
Hicho kitu hakipo hauwezi kuvaa logo kabla mkataba hauja kamilika labda hizo taasisi zinaendeshwa kihunimaon yangu sidhan simba walikuwa na mpango wa kutangaza mapema.. kumbuka mambo ya mikataba usidhan ka vile unatoq mahari.. kuna taratibu nyinhi zinazofanya utangazwaji uchelewe .. mi naona simba wamelazimika kumtangaza mapema sababu team inasafiri na kits za safari zitakuwa na logo ya mdhamin mpya so kuepuka sintofaham watu wakiona kits za simba na logo za mbet ndo maana wakaamua kutangaza mapema ila press wataifanya baada ya mambo mengine kukamilika ndo maana wameweka August 1.
hawawez kuchelewa kutangaza ili kujua yanga atapata ngap kwa sportpesa maana haiwahus tena kumbuka nao walikuwa wana negotiate na sportpesa so kuna uwezekano wanajua kiasi kilichowekwa mezan na sportpesa kwa pande zote mbili.. so hawana haja ya kufoji figure..
mwisho ukumbuke kwenye mapato ya simba kuna kodi ya serikali haweza kufanya ujinga wa kutaja kiasi kikubwa ili kuwaridhisba mashabili kumbe wamepokea kdg itawapa shida kwenye ukaguzi
jaman mambo mengine hayaendeshwi kisiasa au kishabiki..
Nakuona nakuona mzee MpiliNiamini mm Mzee wangu.....watu tuna watu wetu kwenye hizi timu za kariakoo
Kwahiyo wewe utavaa jezi uliyoandika M-bet kwa mbele??Ni kawaida tu hata Man U kila walipokuwa wanabadili wadhamin mfano (CHEVLOLET- Teamviewer) watu walikuwa na mtazamo kama wako.
Chelsea nao wakati wanahama kwa SAMSANG watu walijua jersey zitakua hovyo.
Umesikia wapiBil 3 kwa mwaka si kitoto
Sportpesa walikuwa wanatoa bili 1.3 kwa mwaka
Kama vile ishu ya B 20Mkataba wa Simba na M -bet
Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.
Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo
Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
Kwanini unasema wanasubiri Yanga na SportPesa? Kwani wao Yanga na SportPesa wametoa tarehe ya kutangaza mkataba wao?Ni sahihi ila kuna mwana Simba mmoja humu ndani change formula anadai eti kuwa Simba imeanika kila kitu, Nawakati sio kweli. Lakini kuna maswali najiuliza kupitia hili;
Je wamesaini mkataba kisha wameacha sehemu ya figure? Au wamesaini mkataba uliokuwa na figure ila wamekubaliana kuhaririwa endapo Yanga watapewa pesa nyingi na Sportpesa basi figure itabidi ibadilishwe?
Wao wanakimbizana na iyo pesa wapate za kugharamia kuendesha timu maana nasikia wese limekata na bosi mawenge kasusa kiaina kutoa pesa unafikiri wangefanyaje? Na udhamini wao ni b.3 kwa mwaka kwa muda wa miaka 5,Mkataba wa Simba na M -bet
Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.
Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo
Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
Wewe ni miongoni mwa mapooza wengi mliojaa hapa nchini! Taarifa rasmi ya club imetoka kuwa timu imeingia mkataba na Kampuni ya M-Bet,kwa muda wa miaka mitano,wenye thamani ya B.15 ambao kila mwaka club itakuwa ikilipwa B.3. Taarifa imekamilika ikieleza kila kitu,na pia wakasema ufafanuzi zaidi utatolewa tarehe 1 August. Sasa hapo nini ambacho ujaelewa? Umetajiwa mpaka figure!! Mijitu kama wewe sidhani kama mlikuwa mnaelewa chochote darasani!! Nyie ndio kichwani mmebeba maziro tu!! Imagine majitu kama wewe mpo wangapi nchini?? Bure kabisa.
Kaa kwa kutulia bwanako tarimba abbas na sportpesa yake tumempiga chiniSource ya taarifa yako,kama huna chanzo.....it's just rubbish
We tulia ikifika agosti moja mambo yakiwa hadharanUmesikia wapi
Uto huwa ni chama la vilaza kama weww mudi hapa anahusikaje?Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Hamnaga hiyo kitu.kuna TRA wanasubiri chao ukiongezacthamani unajitia kitanziMkataba wa Simba na M -bet
Hawa Jamaa wanacheza na akili za mashabiki.
Mkataba wameingia tarehe 1 Julai, 2022.. Taarifa wanatoa After two weeks.. then wanakwambia taarifa zaidi watatoa tarehe 1 August, 2022.. mwezi mmoja toka wasaini Mkataba Huo
Asee hapa wanavizia waone SPORTPESA atatoa ngapi kwa Yanga tu ndio na wao wajue kama watatangaza waliyopewa ama watafoji foji ili waonekane kwamba wamewazidi Yanga Kudhaminiwa
Wewe utavaa iliyoandikwaje?Kwahiyo wewe utavaa jezi uliyoandika M-bet kwa mbele??