Kesha push bidhaa zake vya kutosha.Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Tumepata mzamini mpya sasa View attachment 2289947
Aiseee !kesha push bidhaa zake vya kutosha.
Bora tubaki wenye akili na hela zetu huku sport pesaKuanzia Leo sibet tena sport pesa kwanza nilikuwa ngumu kula from now nafuta application yao na nitawambia sitaki mnitumie meseji zenu za fixture sasa nipo Mbet ila chakuwapa ushauri Mbet waboreshe odd zao tu wengine tumehama rasmi sportpesa
Nyie ni mazuzu, Simba wameachana na sportspesa na badala yake ndio huyo M-BETKesha push bidhaa zake vya kutosha.
Zuzu tena.Nyie ni mazuzu, Simba wameachana na sportspesa na badala yake ndio huyo M-BET
Jumatatu ndio watafafanuaWaweke tujue mzigo bei gani wameweka
Awaelewi wenzio Uto uwa wanauelewa mdogo sana wanachanganya mdhamini mkuu na muwekezaji.Nyie ni mazuzu, Simba wameachana na sportspesa na badala yake ndio huyo M-BET
Yeye sio Mdhamini ni Muwekezaji, kuna tofauti.Kwahiyo “Mudi” anasemaje??
Mudi kaenda kudhamini timu ya magongo huko punjabiKwahiyo “Mudi” anasemaje??
Kbs mkuu kwa sport pesa ilikuw na uyanga mwingNdio kampuni ya waziri wa faragha hii! Ndio maana wiki kadhaa nyuma zilisambaa picha za waziri huyo akiwa na jezi ya Simba baada ya kampuni yake kusinya kandarasi hio, karibu M bet.