Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Si tulisema TIK TOK ndio tusaini nao imekuaje Tena m bet makanjibai wenzake waingie mkataba nao?

Kuna mwamba alikula m 25 kupitia mbet kumlipa walisumbuana had gaming board iliingilia kati ili alipwe

Si kwa ubaya watuoneshe mkataba wa bei gani walioingia
 
Ni kawaida tu hata Man U kila walipokuwa wanabadili wadhamin mfano (CHEVLOLET- Teamviewer) watu walikuwa na mtazamo kama wako.

Chelsea nao wakati wanahama kwa SAMSANG watu walijua jersey zitakua hovyo.
SAMSANG??? Ndio kitu gani hicho?
 
Inamaana simba hawawezi kufanya mambo yao bila yanga?
 
Watu walivaa jiesiemu na hawakulipwa hata mia, chezea bongo wewe
 
Yaani wewe graduate kapuku usie na kazi maalumu ndo uwe na watu???
Oneni hii ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyinyi mkataba wenu na Spesa mliwahi kuuonyesha ? Hivi kwanini huwa mnademand vitu ambavyo hata nyinyi hamjawahi kufanya?

Kwahiyo M-bet ilishindwa kulipa 25M hivyo mkataba wa Mbet na Simba Sc hauwezi kuzidi 25M si ndio? [emoji23]

Baki na hayo mavi yako kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wa Simba unasoma bilion 2.5 Kwa mwaka. Kwa miaka mitano Simba watavuna Bilion 12.5.
 
Mkataba wa Simba unasoma bilion 2.5 Kwa mwaka. Kwa miaka mitano Simba watavuna Bilion 12.5.
Acha kupotosha, makubaliano yao ni kuweka wazi tarehe 1 August. Kumbuka Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa, na Tarimba aliweka wazi hilo

 
Hongereni mkuu
 
bro una akili sana.. njoo canada tule kitimoto
 
Mikataba ya kimagungo full upigaji wa wahindi
 
mkataba wa timu ila kiasi cha pesa anajua MO πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hii timu shida sana ndo maana mo katoa bil 20 hewaa kuinunuaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…