Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.
Lakini pia naamini waboreshe u_20 wale watao prove haswa basi kila msimu walau awe ana promotiwa mmoja ama wawili.
ana miaka 25 tuu kazaliwa June 1994Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Poleni sana wataniMkuu tulia, toka nianze kushabikia simba basi bila kupepesa macho, huu mwaka tutulie tu,, tuwaache wafanye usajili hawa viongozi,,
NIMEMCHEK KWA YOUTUBE,,
ana miaka 25 tuu kazaliwa June 1994
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
ingia you tube utaona uwezo wakeAaah wapi. Kwenye 28/32
ingia you tube utaona uwezo wake
Huyo ni kiungo mshambuliaji eneo ambalo Simba haikuwa na tatizo hata kidogo kama kiungo cha ukabaji. Tusubiri tuone viongozi wetu kitu gani wanatutengenezea labda kuna kiungo mshambuliaji mmoja anaondoka? Ni mapema sana kusema chochote tusubiri wamalize usajili.
Kuwakumbusha tu viongozi wetu kwenye kiungo cha ukabaji Mkude, Kotei na Ndemla wanahitaji kuongezewa mtu mmoja wa nguvu.
Mkuu huwa nakukubali kwenye kufanya uhakiki,lazima ukamchungulie You tube!1, Mwepesi
2,Ana Speed
3,Mpiga mashuti nje ya 18
4, Ball Control na udambwi dambwi
5,Anapga Vichwa vya hatari
[emoji23][emoji23]
Yeah uwekezaji wa vijana ni muhimu sanaSipingi waze lakini tuwe na balance
Yeah uwekezaji wa vijana ni muhimu sana
Kwa soka endelevu kwa club na nchi pia
hizi wanazofanya sasa ni short term plans naamini ili tulipoishia tusishuke tuanzie pale pale..
Uku nyuma sasa naamini ndio wawe na mkakati kabambe wa kusuka vijana wenye vipaji sio kama madogo waliocheza Jana wale sijui wameokotea wapi.
Kabisa,, huwa sitaki kuhadithiwaMkuu huwa nakukubali kwenye kufanya uhakiki,lazima ukamchungulie You tube!
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
Tunasubiri mrejesho mkuuKabisa,, huwa sitaki kuhadithiwa
Soma vizuri between the line. Kumkumbusha mwalimu na viongozi ndio kazi yetu mashabiki maana timu ikifungwa tunaumia sana mashabiki. Na walimu sio Miungu angalia usajili wa Zana Coulbaly na Kindoki ndio ujue pia walimu na viongozi wanapaswa wakumbushwe wakati mwingine.Unajifanya unajua sana simba kuliko mwalimu
Sina shaka nayeTunasubiri mrejesho mkuu
Hakika unechambua vzuri, kupambana ns TP mazembe tunahitaji watu kama hawaKwenye soka la leo ushindani uko juu sana. Wachezaji kinda wanapaswa kuendelezwa taratibu kuanzia kwenye academy na kuwa-diffuse taratibu timu ya wakubwa. Mfano: Rashid Juma. Hauwezi kusajili kinda watupu my friend. Watapigwa mechi 5 out of 7 tutaanza "oooh kocha...
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James KoteiView attachment 1132445