Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Sipingi waze lakini tuwe na balance
Ni mwendo wa kusajili compitent players kama Jose morinho, mambo ya kusajili watoto ndio yana tucost arsenal tunakaribia miaka 20 pasipo ubingwa wa ligi wala vikombe vikubwa.
Lakini pia naamini waboreshe u_20 wale watao prove haswa basi kila msimu walau awe ana promotiwa mmoja ama wawili.