Tufahamishe basi ada ya usajili ni kiasi gani?Mzee baba kwani mchezaji akiwa free agent unamchukua bure...wakina kahata na kina tuyisenge ni free agent sahv nenda kajaribu kuwagusa uone bei yao...timu iliyomnunua tuyisenge ya angola uliza wamemlipa bei gani
Kina salamba, kaheza, yule kipa dogo, timu ya under 20, au unamaanisha nini?Yeah uwekezaji wa vijana ni muhimu sana
Kwa soka endelevu kwa club na nchi pia
hizi wanazofanya sasa ni short term plans naamini wanataka tulipoishia tusishuke tuanzie pale pale..
Uku nyuma sasa naamini ndio wawe na mkakati kabambe wa kusuka vijana wenye vipaji sio kama madogo waliocheza Jana wale sijui wameokotea wapi.
Dau lake kubwa. Miaka miwili au zaidi anaweza filisi timu.Miaka 25 anapewa mkataba wa mwaka mmoja na ukali wote mlioutangaza hofu inatoka wapi?
B20 zote mkuu una hofu tenaDau lake kubwa. Miaka miwili au zaidi anaweza filisi timu.
Huyo ni kiungo mshambuliaji eneo ambalo Simba haikuwa na tatizo hata kidogo kama kiungo cha ukabaji. Tusubiri tuone viongozi wetu kitu gani wanatutengenezea labda kuna kiungo mshambuliaji mmoja anaondoka? Ni mapema sana kusema chochote tusubiri wamalize usajili.
Kuwakumbusha tu viongozi wetu kwenye kiungo cha ukabaji Mkude, Kotei na Ndemla wanahitaji kuongezewa mtu mmoja wa nguvu.
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.
Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
25yrs ni mzee???
Soma vizuri between the line. Kumkumbusha mwalimu na viongozi ndio kazi yetu mashabiki maana timu ikifungwa tunaumia sana mashabiki. Na walimu sio Miungu angalia usajili wa Zana Coulbaly na Kindoki ndio ujue pia walimu na viongozi wanapaswa wakumbushwe wakati mwingine.
Kaka yake kagere atua msimbaziMabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James KoteiView attachment 1132445
Soma vizuri between the line. Kumkumbusha mwalimu na viongozi ndio kazi yetu mashabiki maana timu ikifungwa tunaumia sana mashabiki. Na walimu sio Miungu angalia usajili wa Zana Coulbaly na Kindoki ndio ujue pia walimu na viongozi wanapaswa wakumbushwe wakati mwingine.
Sawaππππ1, Mwepesi
2,Ana Speed
3,Mpiga mashuti nje ya 18
4, Ball Control na udambwi dambwi
5,Anapga Vichwa vya hatari
[emoji23][emoji23]
Kumuacha kotei ni sawa na kuchagua mbachao kwa msala upitao!
Labda kama hujamwelewa mtoa maada mkuu!Kotei yupo sana
unajua dau lake au umeanza fiksi zako kama kawaidaDau lake kubwa. Miaka miwili au zaidi anaweza filisi timu.
Wewe unadhani huyo ni wale wachezaji wa lakitanotano kama wa ile timuwewe jamaa kwa kujifanya mjuaji mpaka unaboronga sasa
Mkuu unadhani huyo ni wale wachezaji wa laki tanotano kama wa ile timuAcha urongo wewe mjukuu wa bibi Hindu
We shabiki wa ombaomba fc unaulizia dau la mchezaji wa simba yanakuhusu nini...wewe ulizia dau la kindoki or yule aly aly π π πunajua dau lake au umeanza fiksi zako kama kawaida
Sawa ila acha fiksi kwamba kila kitu cha simba unajua kumbe ni empty headedWe shabiki wa ombaomba fc unaulizia dau la mchezaji wa simba yanakuhusu nini...wewe ulizia dau la kindoki or yule aly aly π π π