Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

Mzee baba kwani mchezaji akiwa free agent unamchukua bure...wakina kahata na kina tuyisenge ni free agent sahv nenda kajaribu kuwagusa uone bei yao...timu iliyomnunua tuyisenge ya angola uliza wamemlipa bei gani
Tufahamishe basi ada ya usajili ni kiasi gani?
 
Yeah uwekezaji wa vijana ni muhimu sana
Kwa soka endelevu kwa club na nchi pia
hizi wanazofanya sasa ni short term plans naamini wanataka tulipoishia tusishuke tuanzie pale pale..

Uku nyuma sasa naamini ndio wawe na mkakati kabambe wa kusuka vijana wenye vipaji sio kama madogo waliocheza Jana wale sijui wameokotea wapi.
Kina salamba, kaheza, yule kipa dogo, timu ya under 20, au unamaanisha nini?
 
Huyu ni kiungo mzuiaji
Huyo ni kiungo mshambuliaji eneo ambalo Simba haikuwa na tatizo hata kidogo kama kiungo cha ukabaji. Tusubiri tuone viongozi wetu kitu gani wanatutengenezea labda kuna kiungo mshambuliaji mmoja anaondoka? Ni mapema sana kusema chochote tusubiri wamalize usajili.

Kuwakumbusha tu viongozi wetu kwenye kiungo cha ukabaji Mkude, Kotei na Ndemla wanahitaji kuongezewa mtu mmoja wa nguvu.
 
25yrs ni mzee???
Tunaongeza wazee [emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi sisi tunaendesha timu ki mfumo upi.

Yaani hatuna wachezaji wengi ambao wapo kwenye mwendelezo wa kuzidi kudevelop.
Sasa ina maana baada ya msimu mmoja au miwili anashuka kiwango then tunamuuza kwa hasara au kuachana nae.
Simba tujifunze pia kufanya biashara ambayo badae inaweza kutuletea faida kibiashara.
 
Pia kocha alishasema niyonzima na chama wanacheza mpira wa aina moja anahitaji mtu mmija wa tofauti
Soma vizuri between the line. Kumkumbusha mwalimu na viongozi ndio kazi yetu mashabiki maana timu ikifungwa tunaumia sana mashabiki. Na walimu sio Miungu angalia usajili wa Zana Coulbaly na Kindoki ndio ujue pia walimu na viongozi wanapaswa wakumbushwe wakati mwingine.
 
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.
Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.
Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari zinasema ataziba nafasi ya James KoteiView attachment 1132445
Kaka yake kagere atua msimbazi
 
Pia kocha alishasema niyonzima na chama wanacheza mpira wa aina moja anahitaji mtu mmoja mwenye mambo tofauti na kina chama

Soma vizuri between the line. Kumkumbusha mwalimu na viongozi ndio kazi yetu mashabiki maana timu ikifungwa tunaumia sana mashabiki. Na walimu sio Miungu angalia usajili wa Zana Coulbaly na Kindoki ndio ujue pia walimu na viongozi wanapaswa wakumbushwe wakati mwingine.
 
We shabiki wa ombaomba fc unaulizia dau la mchezaji wa simba yanakuhusu nini...wewe ulizia dau la kindoki or yule aly aly 😂 😂 😂
Sawa ila acha fiksi kwamba kila kitu cha simba unajua kumbe ni empty headed
 
Back
Top Bottom