Mkuu we shabiki wa ombaomba unajuaje kama mimi najua mambo ya simba or sijui...inamaana mashabiki wa makwasukwasu mnafuatilia mambo ya simba na kuyajua kuliko sisi washabiki wa simba???Sawa ila acha fiksi kwamba kila kitu cha simba unajua kumbe ni empty headed
Shadeeya unaposubiri kumuangalia ili umtoe kasoro na kutucheka Wakubwa wa pori pia ukigundua tumepata bonge la mchezaji usisite kurudi tena humu jukwaani na pongezi kedekedeHabari ndio hizo Mtani. Naona watu wanamsifia tu, hivyo macho yangu na masikio yapo kwake hasa pale msimu utakapoanza.
We hujui ...Ally alikuwa hajifungi alikuwa anaifungia Timu yake Yanga!Mwe..! Mwe..! Mutu ya Kazi, karibu Msimbazi Sharif Shiboub
Huyu atasababisha yule Ally Ally akimuona tu kwenye derby ya Simba SC na Yanga ajifunge..!SimbaNguvuMoja
Duh kama alivyokuwa Serrunkuma mpaka mkamuuza Real MadridYou tube inaonyesha jamaa anafunga header katikati ya uwanja
Ndio,We hujui ...Ally alikuwa hajifungi alikuwa anaifungia Timu yake Yanga!