Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Sisi tulijua mtafungwa tu na kumbuka raundi ya pili game nyingi mnacheza ugenini
 

Naona umeanza kuweweseka,Leo ilikuwa zamu ya Lyon kugawa dozi
 

Hilo jamaa lenye t-shirt nyekundu sijui linashika wapi huko? Mama naye kajitakia mwenyewe maana huu mchezo hauhitaji hasira!!
 
Matokeo ya leo yatawafanya Mashabiki wengi wa Yanga walale na VIATU kusherehekea Ushindi wa LYON...still bado atamaliza KILELENI....msimamo wetu kurudisha hadhi ya soka kimataifaa
 
Mkuu na wewe umezaliwa miaka minne iliyopita nini? Maana simba inahistoria ya zaidi ya miaka minne.
 
Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Umekalishwa mkubwa, na Bikra ishatolewa mkubwa, na kimoja ukikichomoa unachomoa na utumbo kabisa... Pole sana mlinzi wa nafasi ya kwanza, wenyewe waja. Inaumiza lakini usijali ndio Bikra ikitatuliwa ilivyo, pole Mrs Lyion.
 
Hahahahahahaaaaaaaaa kuna mtu kakikalia leo, kimoja cha haja. Mji umekuwa kimyaaaaa, watu tumemalizia weekend yetu kwa raha na amani.
African Lyon tunawashukuru sana, salamu ziwafikie popote mlipo.
[HASHTAG]#huu[/HASHTAG] mchezo hauhitaji ujuaji mwingi#
[HASHTAG]#usitukane[/HASHTAG] mamba kabla hujavuka mto#
Asante Yanga nina mahaba ya dhati kwenu.

#teamyangaforever#
 
Kimoja cha nguruwe watoto kumi na mbili. Gundu ndio linaanzia hapo, kifuatacho ni kupigwa ama suluhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…