Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Sizitaki mbichi hizi style!Lyon Wamebahatisha...na plan yao ya KIMORINYO imewasaidia ole wake wangefunguka ilikuwa Dazan leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizitaki mbichi hizi style!Lyon Wamebahatisha...na plan yao ya KIMORINYO imewasaidia ole wake wangefunguka ilikuwa Dazan leo
Sisi tulijua mtafungwa tu na kumbuka raundi ya pili game nyingi mnacheza ugeniniNikiri leo tumefungwa kwa mapungufu makubwa ya Lufunga.Lyon wamepoteza mda sana ila counter attack zao zilikua mwiba sana.Yaah najua leo mtachonga sana ila kufungwa hili goli siyo tiketi ya kufungwa na wengine.Kocha atafanyia kazi hili swala la kupaki basi ili kuivunja beki yetu.Bado nafasi tunayo hivyo msijipe moyo.
Naona yanga leo wanasema hua tunanunua mechi.Hivi kuna magoli ya mkono simba? Je magoli ya offside? Wapi watu kucheza rafu mbaya za red card na kutoonywa na kadi yeyote.Hivi simba hii maskini iliyoundwa na wachezaji wenye thamani ya wachezaji watatu wa Yanga inaweza kuhonga? Acheni unazi,sisi tumefungwa kama timu nyingine.Hua tunashinda kwa jasho siyo laini kama mavyura.Acheni kukoroma.
Huyu Sembo si ndiye aliyesema Simba itachukua kombe la afrika!Ulivuka mpira mmoja tu mtani zile dakika za mashetani kurudi mitini na ndo ukaleta msiba.
Mkuu na wewe umezaliwa miaka minne iliyopita nini? Maana simba inahistoria ya zaidi ya miaka minne.Acha porojo!! Ati, "hua tunajikosoa!" Miaka minne iliyopita ilikuaje? Kutangulia kwa baiskeli ya matope kwenu mikia imekua jambo la kawaida miaka iliyopita, na mbio hizo za baiskeli ya matope zikisindikizwa na makele, "RUBBISH" za akina Sembo, Gentamycine & company. Nina wasiwasi iwapo mwaka huu utakua tofauti!
Hata akikonda vipi hawezi kua paka (yebo).
Huyo huyo mara tanapa haishiwi maneno sijui leo kapatwa na dharura gani.Huyu Sembo si ndiye aliyesema Simba itachukua kombe la afrika!
Asee ndoto zako siyo za mchezo mchezo.Dah namshukuru refree wa leo ndoto yangu imetimia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekalishwa mkubwa, na Bikra ishatolewa mkubwa, na kimoja ukikichomoa unachomoa na utumbo kabisa... Pole sana mlinzi wa nafasi ya kwanza, wenyewe waja. Inaumiza lakini usijali ndio Bikra ikitatuliwa ilivyo, pole Mrs Lyion.Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Mbele ya Yanga Simba haina historia yeyoteMkuu na wewe umezaliwa miaka minne iliyopita nini? Maana simba inahistoria ya zaidi ya miaka minne.
kwani alikuwa anacheza simba na nani? lakini mimi siyo simbaWe timu gani?