Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Nikiri leo tumefungwa kwa mapungufu makubwa ya Lufunga.Lyon wamepoteza mda sana ila counter attack zao zilikua mwiba sana.Yaah najua leo mtachonga sana ila kufungwa hili goli siyo tiketi ya kufungwa na wengine.Kocha atafanyia kazi hili swala la kupaki basi ili kuivunja beki yetu.Bado nafasi tunayo hivyo msijipe moyo.
Sisi tulijua mtafungwa tu na kumbuka raundi ya pili game nyingi mnacheza ugenini
 
Naona yanga leo wanasema hua tunanunua mechi.Hivi kuna magoli ya mkono simba? Je magoli ya offside? Wapi watu kucheza rafu mbaya za red card na kutoonywa na kadi yeyote.Hivi simba hii maskini iliyoundwa na wachezaji wenye thamani ya wachezaji watatu wa Yanga inaweza kuhonga? Acheni unazi,sisi tumefungwa kama timu nyingine.Hua tunashinda kwa jasho siyo laini kama mavyura.Acheni kukoroma.

Naona umeanza kuweweseka,Leo ilikuwa zamu ya Lyon kugawa dozi
 
d87720d177bdefea009fed224d25af89.jpg

Hilo jamaa lenye t-shirt nyekundu sijui linashika wapi huko? Mama naye kajitakia mwenyewe maana huu mchezo hauhitaji hasira!!
 
Matokeo ya leo yatawafanya Mashabiki wengi wa Yanga walale na VIATU kusherehekea Ushindi wa LYON...still bado atamaliza KILELENI....msimamo wetu kurudisha hadhi ya soka kimataifaa
 
Acha porojo!! Ati, "hua tunajikosoa!" Miaka minne iliyopita ilikuaje? Kutangulia kwa baiskeli ya matope kwenu mikia imekua jambo la kawaida miaka iliyopita, na mbio hizo za baiskeli ya matope zikisindikizwa na makele, "RUBBISH" za akina Sembo, Gentamycine & company. Nina wasiwasi iwapo mwaka huu utakua tofauti!
Mkuu na wewe umezaliwa miaka minne iliyopita nini? Maana simba inahistoria ya zaidi ya miaka minne.
 
Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Umekalishwa mkubwa, na Bikra ishatolewa mkubwa, na kimoja ukikichomoa unachomoa na utumbo kabisa... Pole sana mlinzi wa nafasi ya kwanza, wenyewe waja. Inaumiza lakini usijali ndio Bikra ikitatuliwa ilivyo, pole Mrs Lyion.
 
Hahahahahahaaaaaaaaa kuna mtu kakikalia leo, kimoja cha haja. Mji umekuwa kimyaaaaa, watu tumemalizia weekend yetu kwa raha na amani.
African Lyon tunawashukuru sana, salamu ziwafikie popote mlipo.
[HASHTAG]#huu[/HASHTAG] mchezo hauhitaji ujuaji mwingi#
[HASHTAG]#usitukane[/HASHTAG] mamba kabla hujavuka mto#
Asante Yanga nina mahaba ya dhati kwenu.

#teamyangaforever#
 
Kimoja cha nguruwe watoto kumi na mbili. Gundu ndio linaanzia hapo, kifuatacho ni kupigwa ama suluhu.
 
Back
Top Bottom