Naona yanga leo wanasema hua tunanunua mechi.Hivi kuna magoli ya mkono simba? Je magoli ya offside? Wapi watu kucheza rafu mbaya za red card na kutoonywa na kadi yeyote.Hivi simba hii maskini iliyoundwa na wachezaji wenye thamani ya wachezaji watatu wa Yanga inaweza kuhonga? Acheni unazi,sisi tumefungwa kama timu nyingine.Hua tunashinda kwa jasho siyo laini kama mavyura.Acheni kukoroma.
Tatizo lenu thimba mna maneno mengi sana wakati hata kushinda kwenu ni kwa tabu tabu sana yaani vigoli vyenu vya kubahatisha bahatisha tu havina ufundi wowoteHakuna kubwabwaja,kufungwa leo ndio kwenu mvua imenyesha mnakoroma wee! Bado tinauwezo wakufanya vizuri zaidi. Leo tumepewa changamoto katika mfumo wetu wa ulinzi. Kwamba kupandisha mabeki na kujisahau ni kosa.Pia simba tunatatizo la mfungaji,ni matatizo yanayoweza kutatulika.sisi hua tunajikosoa wenyewe siyo nyinyi mnajiona mko poa kumbe mbeleko inawasaidia.
Kuna Kila Dalili ya Kuwa Hii Ligi itamalizika Kipa Wetu Akiwa Kafungwa Hayohayo Magoli MAWILI tu (La mkono silo) Manake Kwenye Ligi Hii Mpaka Sasahivi Sijamuona Mchezaji Wa Kumfunga Kipa Wa Simba SC
Mtani vipi hali yako. Uhali gani?Kama kawa.. Kama dawa.. Lazima tuwakalishe.
Dah Ongera aisee. [emoji23]Simba 0 - 1 A.Lyon
Lyon mmbandue uyoo simba wa maonyeshooo
Lyon 1 vs 0 SIMBAWewe ni Msukule Wa Wap?... Au Ndiyo Wale wa ¼..?
Manake Kwa Binadamu Wa Kawaida haiwezi mpitikia Akilini Kuwa Simba Anaweza Fungwa Ndani Ya Tanzania hii....
Ashukuru leo TAMBWEMAGOLI hajaanza. Katokea bench.Kichuyear ana hatrick leo
NDOTO IMETIMIA.... [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeota simba leo anafungwa kwa mara ya kwanza
Huko hata kwa sumu....mrembo acha kushabikia vitu vya kijinga njoo huku kwenye raha
Labda Klabu bingwa ya kule Zanzibar.... [emoji3]Simba inaweza kuchukua Club bingwa afrika