Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba kafungwa katika mpira kitu cha kawaida mno hassa baada ya matokeo mazuri. illa nilishawahi kupost hapa JF simba wanahitaji mshambuliaji mmaliziaji wasitegemee viungo kila mara mavugo na huyo blagnon hawaonyeshi umuhimu simba wanakosa magoli sana sio wazuri au hawaendani na mpira wa simba. ni lazima wapate mshambuliaji mmoja mzuri na mwingine kiwango cha kati. la sivyo watashinda kwa tabu au kushindwa wanapocheza na timu inayo paki basi. mechi hii ni onyo wafanyie kazi safu hii. Na la mwisho goli kipa ni mzuri kupanga timu illa ni mbovu sana katika kudaka.
 
Wamatopeni Kelele nyingiiiiii mwisho wa siku mmedondokea pua, kazi yenu kununua mechi na marefa, sasa kwisha habari yenu, nyambaf kabisaa
 
Nikiri leo tumefungwa kwa mapungufu makubwa ya Lufunga.Lyon wamepoteza mda sana ila counter attack zao zilikua mwiba sana.Yaah najua leo mtachonga sana ila kufungwa hili goli siyo tiketi ya kufungwa na wengine.Kocha atafanyia kazi hili swala la kupaki basi ili kuivunja beki yetu.Bado nafasi tunayo hivyo msijipe moyo.
 
Naona yanga leo wanasema hua tunanunua mechi.Hivi kuna magoli ya mkono simba? Je magoli ya offside? Wapi watu kucheza rafu mbaya za red card na kutoonywa na kadi yeyote.Hivi simba hii maskini iliyoundwa na wachezaji wenye thamani ya wachezaji watatu wa Yanga inaweza kuhonga? Acheni unazi,sisi tumefungwa kama timu nyingine.Hua tunashinda kwa jasho siyo laini kama mavyura.Acheni kukoroma.
 
Pole!! Acha kutoa povu! Mayowe mengi!! Wapi Sembo? Wapi Gentamycine? Leo mikia mlifungua threads zaidi ya 10! Zote kufuru tupu!! Matokeo ndio hayo! Na huo ni mwanzo tu. Acha kubwabwaja hapa, kalale! Ukilala na viatu shauri yako!
 
Hii ligi nayo haieleweki shoga yake simba anapigwa pigwa kila siku lakini eti yupo nafasi ya nne
 
naona muda unavyokwenda ndio siti yetu ya dereva tunavyotaka kuachiwa.siti ya dereva sio ya mchezo.mikia mtatuachia tu.
 
Hakuna kubwabwaja,kufungwa leo ndio kwenu mvua imenyesha mnakoroma wee! Bado tinauwezo wakufanya vizuri zaidi. Leo tumepewa changamoto katika mfumo wetu wa ulinzi. Kwamba kupandisha mabeki na kujisahau ni kosa.Pia simba tunatatizo la mfungaji,ni matatizo yanayoweza kutatulika.sisi hua tunajikosoa wenyewe siyo nyinyi mnajiona mko poa kumbe mbeleko inawasaidia.
 
mhh safi walikua na uhakika hawakujua kuwa wanacheza na vijana wa mjini sio majimaji hao hawashangai kitu hapo ni mpira tuu..
 
Hakuna kubwabwaja,kufungwa leo ndio kwenu mvua imenyesha mnakoroma wee! Bado tinauwezo wakufanya vizuri zaidi. Leo tumepewa changamoto katika mfumo wetu wa ulinzi. Kwamba kupandisha mabeki na kujisahau ni kosa.Pia simba tunatatizo la mfungaji,ni matatizo yanayoweza kutatulika.sisi hua tunajikosoa wenyewe siyo nyinyi mnajiona mko poa kumbe mbeleko inawasaidia.
Tatizo lenu thimba mna maneno mengi sana wakati hata kushinda kwenu ni kwa tabu tabu sana yaani vigoli vyenu vya kubahatisha bahatisha tu havina ufundi wowote
 
Kuna Kila Dalili ya Kuwa Hii Ligi itamalizika Kipa Wetu Akiwa Kafungwa Hayohayo Magoli MAWILI tu (La mkono silo) Manake Kwenye Ligi Hii Mpaka Sasahivi Sijamuona Mchezaji Wa Kumfunga Kipa Wa Simba SC

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee
 
Back
Top Bottom