Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

Haya sasa AIBU YETU, AIBU YAO........(ni aibu yao wenyewe). Refa alijaribu kuwatengenezea MAZINGIRA, Kwa kuwaongezea DAKIKA akidhani wangeshinda,........Matokeo WAMELAZWA wao.........BILA AIBU NA KAMA KAWAIDA YAO......Wanadai ni GOLI la MKONO........Teeehteeeteeh...!!

Wamezoea kulalamika hao
 
Piga haoooooo Simba
fdd2d34ffa02e6d6fa8450442693d359.jpg
 
Yaani wamatopeni ni shida! Wasipo honga ama drooo au kufungwa
 
Hapa sasa kwa kua kb imetolewa ndio tunaweza kupitisha vizuri,mechi yao na sisi lini jamani?
 
Daaa! Simba wamenitoa chozi leo... Bt ndo challenge za ubingwa hizi
 
kati ya magoli yanayouma ni hili goli la africa lyon,limeniuma sana hata kula usiku sitamani bora wangufunga dk za mwanzo tungejua tumeshindwa sisi kurudisha sasa goli dk zile asee na mpira wote tuliocheza daaah
Kufa tu hahahahaha
 
Halafu Leo walikua wanafanya mazoezi pale urafiki wamechoka utasema wametembea kwa miguu toka mwanza mpaka dar
 
Back
Top Bottom