Simba yatambulisha beki Mbrazil

Simba yatambulisha beki Mbrazil

Sifa zake akisimama namba 5 anakaba hadi kivuli, Zahera nae akizingua anakabwa...

Kule ligi ya india ndiyo alikua top scorer magoli 20 ya vichwa,10 ya mguu wa kushoto bila kusahau 12 ya visigino unambiwa anafunga hadi kwa ulimi...
 
Ina maana huko India hakuna washambuliaji hadi beki awe tòp score..
 
Huu usajili sina hakika kama umezingatia mazingira ya soka la Afrika na hali ya hewa.

Tusubiri tuone.
 
Sifa zake akisimama namba 5 anakaba hadi kivuli, Zahera nae akizingua anakabwa...

Kule ligi ya india ndiyo alikua top scorer magoli 20 ya vichwa,10 ya mguu wa kushoto bila kusahau 12 ya visigino unambiwa anafunga hadi kwa ulimi...
hahahaha hata akifumba macho goli halikosi
 
Japo anaonekana yupo vizuri wasi wasi wangu mkubwa ni viwanja vyetu vibovu. Kwa tackling zake za kulala atakuwa na "shilingi" za kutosha kila upande wa mapaja.

Pamoja na mazoezi ya ulaya viongozi wakumbuke mara moja moja kuwapeleka wafanye mazoezi Kinesi au uwanja wowote mbovu na wafanye mazoezi mara nyingine kwenye mvua kwani ile mechi na Biashara United Simba walishindwa kabisa kuwahimili Biashara kwenye mvua.
 
Nawapongeza simba kwa kufanya usajili wa kuzingatia vigezo vya kufanya vizuri kimataifa. Nauhakika makundi ya caf tunaingia hasubui asubuitu. Alafu plani ya kufika fainal itakua taget ya 2
 
Back
Top Bottom