Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Shadeya napenda mrusha roho
na mwaka huu atapungua,
Vice versa is true ππππAtaita maji mma ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shadeya napenda mrusha roho
na mwaka huu atapungua,
Vice versa is true ππππAtaita maji mma ππππ
Unadhani hawalijui hilo ila ni wabishi tu hawa.Mkuu wote ulioanza nao chekechea wote mlifika Chuo kikuu? Kumfananisha na kutoa mfano wa watu aliocheza nao nikichekesho,yeye alikwama wapi hadi kuja east Africa? Brazil ni nchi yenye vipaji vingi vya soka ila siyo kila mtu toka Brazil ni mchezaji wa mpira
Hahhah bila kujipanga jamaa analeta matango pori hapa..shenzi kabisaIna maana huko India hakuna washambuliaji hadi beki awe tΓ²p score..
Kumbe? π³π³Simba mmeniangusha!
Inakuaje mnafuatilia ligi ya india?
Alio cheza nao Allison kaamua enda Liverpool, cotinhooo Barcelona, neymer PSGSanchez magoli hafai kabisa Pacha. Ananiringishia eti.
Japo nashangaa mbona mlitushangaa sana kipindi kile tunawasajili kina Jaja iweje leo hii na nyie mnaleta hao hao wa Brazil?
haha Nakuona ulivyo andika kinyonge.Muda utaongea Mtani. Na ndio itakuwa mwanzo wa kujua pumba na upi mchele. ππ
hahahahaVice versa is true ππππ
Sanchez magoli hafai kabisa Pacha. Ananiringishia eti.
Japo nashangaa mbona mlitushangaa sana kipindi kile tunawasajili kina Jaja iweje leo hii na nyie mnaleta hao hao wa Brazil?
Vice versa is true ππππ
Mabeki wako italy sio brazil.Kumbe? π³π³
Ukisikiaga yanga lia lia ni huyu ShadeeyaHivi pacha ilikuwaje ukajiweka timu ya kimasikini na mbovu hivoππ
Hebu mtarajiwa Sanchez magoli tumshawishi aje ushuaniππ
Mnajuaga sana kujikaza Mtani yaani ashindwe hata kwenda Misri huko aje Tz na bado munamuona kifaaa. Aiseeeee.Alio cheza nao Allison kaamua enda Liverpool, cotinhooo Barcelona, neymer PSG
Fraga kaamua kuja simba Tanzania.
hahaha mtani acha mfananisha fraga na wauza matunda wakina Jaja waliokuja kuchuma pesa.
Hahaaa. Ndio ujue ni wa mchangani huyo jamaa Mtani.haha Nakuona ulivyo andika kinyonge.
Alafu unaambiwa huyu kwenye Viwanja
Kama vya kinesi na bandari vile ndo anakuwa hatari kweli kweli
Ilitokea tu halafu huwezi amini Watoto wako na Baba yao wote ni Simba lialiaHivi pacha ilikuwaje ukajiweka timu ya kimasikini na mbovu hivoππ
Niacheni Pacha nyie mnatosha huko. ππππHebu mtarajiwa Sanchez magoli tumshawishi aje ushuaniππ
Tutajua tu huko huko Pacha. Japo si ajabu mi nikayatamka vizuri halafu we ukashindwa. πππMsimu ukianza sijui maji utayatamkaje ππ
hahaha; aende kwa yule tuliemfunga kwa mkapa?Mnajuaga sana kujikaza Mtani yaani ashindwe hata kwenda Misri huko aje Tz na bado munamuona kifaaa. Aiseeeee.
ππππUkisikiaga yanga lia lia ni huyu Shadeeya
Mzee akilimali kasha mnywesha kopo lenye maji ya njano.
Umesahau Mtani jinsi umeme ulivyonitesaga eee? πππHatua alizo chukua kuikwepa presha ni kutoangalia mechi, yeye mletee matokeo tu baada ya dk 90