Simba yatambulisha beki Mbrazil

Mtani Mimi na yule sasa hivi ni sawa tu
Ndiyo mana nyinyi timu ndogokwenye club bingwa mtaanzia hatua za awali kabisa ambazo sisi na al ahaly hatuta kuwemo
Hivyo kufika naye quarter final Mtani basi ndio mshakuwa sawa eee?

Haya bana Mtani muda utaongea.
 
Hivyo kufika naye quarter final Mtani basi ndio mshakuwa sawa eee?

Haya bana Mtani muda utaongea.
Hahaha
Kinyonge sana;

Hata wakati wa draw kapu lenu na letu
yatakuwa tofauti tokana na ukubwa wa timu.
 
Msimu huu toneane huruma wote Mtani sababu hata sisi si haba hivyo muandae miamala kabisa na la sivyo Ubingwa mutaishua kuusikia tu.
Mmeshanza Ku ongelea mambo ya miamala
mapema hivi mtani,

Tafuteni mwekezaji tutawatesa sana, kanjibahi rostam atawapoteza
 
Sanchez magoli hafai kabisa Pacha. Ananiringishia eti.

Japo nashangaa mbona mlitushangaa sana kipindi kile tunawasajili kina Jaja iweje leo hii na nyie mnaleta hao hao wa Brazil?
Tofauti ya wabrazil wa Maximo na hawa wanaoletwa na Simba wale wa Maximo waliletwa kiurafiki lakini hawa wa Simba wamechunguzwa kiumakini
 
Eti alikuwa na Neymar na CotinhoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…