Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Vipi zile 20B za Mo alishatoa? Maana na zenyewe ziliitwa nono
 
SIMBA ni KAMPUNI??? Umewahi kuona Financial statements za Simba Sports Club??
Kwako wewe hapo kodi itatozwa kwa nani?? Unadhani TRA wanasikiliza maneno badala ya ushahidi wa kimaandishi??

Sikia, TRA wao wataangalia Statements za pande zote mbili kwa M-Bet itaonekana kwenye Comprehensive Income upande wa Expenses kwa maana Advertisement expns na Simba as a Revenue (Sponsorship).

Mkataba wa Miaka 5 na Sheria ya kodi haitozi kodi kwa miaka kadhaa mbele, hutoza katika mwaka husika wa Kodi au Mkuu wangu umesahau hili leo??

Ukiangalia Mapato ya M-bet na matumizi yao maana yake watagenerate Loss katika miaka hii ya karibuni.

Financial Statements za M-bet haziko stable sana kiasi cha kumudu hizo gharama.

Nilichokuwa nawaza hapa ni kwamba ni ngumu mno kwa M-bet kuhandle huo mkataba, ni moja ya makampuni madogo hapa Tz pamoja na ukongwe wake.

Nakuomba tafuta vitabu vya mahesabu ya M-bet ndio utakuja kuelewa ninashosema hapa.
 
@CARDLESS anakwambia TRA hawahusiki kabisa hapo, mimi sitaki kuamini kama hajui ila ni katika hali ya kupanick( yeye kama shabiki wa utopolo)[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Unanichafua kaka, nimeuliza wanahusika vipi hapa?? Ulipaswa kusema namna wanavyohusika hapa maana tunajua hakuna WITHHOLDING TAXES HAPO si ndio wajameni??

Kodi hatutozi kwa miaka kadhaa mbele bali kwa mwaka husika wa fedha [emoji2][emoji2][emoji2]

Naanza mdogo mdogo najua tutakubalia huko mbele, uzuri nakujua. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Medieval mindset


Mmekaa kubana Bana watu Tu
 
Ni kweli mkuu, kodi hatutozi kwa miaka kadhaa mbele bali ni kwa mwaka husika wa fedha ndiomaana hata hizo 26B hazotolewi kwa mkupuo bali kwa kipindi (kila mwaka).
 
Kumaanisha kodi huwa inatozwa na TRA kwa makampini pekee?

Sitaki kujibu hoja nyingine yoyote katika hiyo comment yako, acha nikomae na hapa.
 
Ni kweli mkuu, kodi hatutozi kwa miaka kadhaa mbele bali ni kwa mwaka husika wa fedha ndiomaana hata hizo 26B hazotolewi kwa mkupuo bali kwa kipindi (kila mwaka).
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] haya sasa twende mbele kidogo, eeh TRA wanasikiliza porojo au detailed documents???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…