Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkuu kwanza elewa kuwa SijakasirikaSasa mkuu kwann unakasirika unapotajwa uwanja wa simba. Huu ni uzi wa simba sio wa kampeni za yanga. Simba wamelamba dili kubwa itakua vyema mkipata uwanja wenu ili msipate shida na TFF kama ilivyomtokea Ceo wenu.
Ajenda ya uwanja mnayo kitambo na michango mmeshatoa wanachama,na Mo alishahidi kitita kikubwa ukiongezea na mkataba huu uwanja unapatikana mapema tu
Ni kweli huu ni uzi wa Simba lakini umeambatanisha maoni ya wadau mbali mbali mkiewemo Yanga
Sasa kuna hoja ambazo zinaulizwa halafu ukiangalia hata huyo muulizaji timu yake ina changamoto kama hiyo anayo jaribu kutaka kujua ufumbuzi wake na wakati timu yake bado haijaonesha dira ya kutatua tatizo hilo