Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Unafikiri TRA wasingeingilia deal ikiwa kungekuwa na ubadhilifu wa hela kwa namna yoyote ile??


Yani ujitaje umeingia mkataba wa mabilioni ilihali umesaini mamillion, kisha utegemee kujiendesha vizuri bila kupigwa pin na hizo mamlaka?

Sio kizembe hivyo mkuu.
TRA kazi yao ndio hiyo au umekurupuka tu kuandika???
 
Mbona unapovuka mkuu kuna ubaya gani Simba ikijenga uwanja wake?
Hakuna ubaya mkuu

Ila na nyie kumbukeni swala la uwanja lipo kwenye agenda ya raisi wenu

Na swala la agenda sio kitu kipya make huko nyuma kuliwahi kuwa na watu waliokuja na agenda kama hizi

Anajitofautishaje na waliomtangulia?

Hapo ndio tunataka kumpima
 
Hongereni Mikia,ila mjiulize timu yenu Ina thamani ya bil 20 toka Kwa Mwamedi? Msipopata majibu maneno ya Rage yataendelea kuishi
Sidhani kama thamani ya team inaweza kutathinimiwa ndani ya Asilimia 49, lakini pia hakuna namna ambayo mtu anaweza kukuelewesha wewe kwasababu:-

No evidence is ever enough to persuade an Idot.
 
Sasa mkuu kwann unakasirika unapotajwa uwanja wa simba. Huu ni uzi wa simba sio wa kampeni za yanga. Simba wamelamba dili kubwa itakua vyema mkipata uwanja wenu ili msipate shida na TFF kama ilivyomtokea Ceo wenu.

Ajenda ya uwanja mnayo kitambo na michango mmeshatoa wanachama,na Mo alishahidi kitita kikubwa ukiongezea na mkataba huu uwanja unapatikana mapema tu
Hakuna ubaya mkuu

Ila na nyie kumbukeni swala la uwanja lipo kwenye agenda ya raisi wenu

Na swala la agenda sio kitu kipya make huko nyuma kuliwahi kuwa na watu waliokuja na agenda kama hizi

Anajitofautishaje na waliomtangulia?

Hapo ndio tunataka kumpima
 
Thaman ya Simba billion 20 Ila imeingia mkataba wa billion 26
Simba ilifanyiwa tathimini mwaka 2015-2016, kipindi hiko Simba haikuwa na thamani iliyo nayo sasa.

Thamani ya Simba kwa wakati huo 49% ilikuwa 20bil Tsh...

Baada ya hapo, MO akaweka hela, walipokuja Sportpesa wakadhamini, Mo alitoka hadharani kupinga huo udhamini sababu hakushirikishwa, wakati tayari kaweka pesa zake.

Kuna 51% ambazo hazijauzwa.

Kwa sasa wakifanya valuation ya Simba itazidi bilioni 100, hivyo ikitokea mtu anataka mtoa MO itabidi atoe zaidi ya 50bil
 
Duuuh ko wachezaji wakiwa chini ya kiwango wabaki? Au kocha asipotimiza malengo ya club aachwe?? Yaan huu msimu m1 ndo barbrah anaonekana mbaya?? Mmmh extrooo hapana hauko serious.

Al Ahly wametimua pitso kisa kukosa CAFCL mwaka huu, au hukuona?? Kuna team isiyofungwa duniani??
Mwanaume kumuonea mwanamke wivu ni swala la ajabu, huenda wanagombania bwana
 
Sidhani kama Simba Sc wangeachana na Spesa ikiwa alikuwa na masilahi makubwa kuliko yale ya M-bet, walipiga hesabu wakaona faida ipo huko.

Lakini pia haileti hamasa za kiuwekezaji ikiwa Spesa pekee ndio atakuwa anahodhi mikataba na team zote kubwa za Simba Sc& Yanga Sc.
Simba wamewaingiza cha kike Yanga na Sportpesa
 
Back
Top Bottom