Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

No evidence is ever enough to persuade an "Idot" [emoji777] "Idiot" [emoji736]

Lugha za kitumwa zinatuumbua sana Wabongo, tukomae na lugha yetu pendwa ya Taifa "Kiswahili" tafadhali Chifu.
Sasa kusahu herufi "I" ndio kitu cha kuja kubrag hapa? Kwamba nimeweza kuumba sentensi nzima bila kuwepo makosa ya kimuundo, leo herufi moja ndo itoshe kuvuruga context ya comment yangu? Wabongo bwana😂.

Najua wewe ni one among Green&Yellow minions😂
 
Wrong move, na kama TMO hukustahili kuwa afisa hata kidogo.

Sadaka haitozwi kodi popote pale, rudi kasome upya sheria au omba aindikwe kwa kiswahili labda utaelewa.

Sheria inakutaka kusubmit vitabu vya hesabu, na sio kukutoza kodi. Vitabu vya hesabu vitaonesha shughuli zako unazofanya ambapo huwezi tozwa Corporate tax hata kidogo.

NGOs wachopaswa kilipa ni PAYE na labda SDL.

Wakiagiza magari wanasamehewa kodi, wakiagiza vifaa vya hospitali zao wanasamehewa kodi nk.

Hali kadhalika kwenye hizo timu hazina hizo kodi na ndio maana matajiri wengi hutumia mgongo huo kujifanya wanawekeza.

Ingekuwa hivyo SIMBA au YANGA ndio zingekuwa zinalipa wachezaji wao, lkn amini nakwambia wachezaji wengi wanalipwa na watu tofauti tofauti na sio Klabu kama klabu.

Usisome kitu kwa kukariri mkuu, najua unataka kujua zaidi ila nakuomba kakae chini soma tena. Kasome MISAMAHA YA KODI ndio uje hapa ueleze hicho unachofikiria.
Usipoelewa na hapa basi kuna shida mahali
 
Attachments

  • DDBBFB9F-3160-4A0F-B8FC-EB6AD45022D5.png
    DDBBFB9F-3160-4A0F-B8FC-EB6AD45022D5.png
    83.3 KB · Views: 4
  • 01F7707E-5935-4735-AA14-DDA373F8E9F1.jpeg
    01F7707E-5935-4735-AA14-DDA373F8E9F1.jpeg
    203.1 KB · Views: 5
mkataba wa Yanga na Azam Tv walisema wazi kwamba ni bil 40+ kwa miaka 10,ila wakasema Yanga atakua anapokea sijui 3+ baada ya Kodi.....

hata mkataba wa bodi ya ligi na Azamtv bado walisema kuna kodi ya serikali kiasi flani (18%),

mapato ya uwanjani pia kuna VAT huwa inakatwa (mechi za simba&yanga mapato huvuka 100m)

..........unaposema hizi 26b au 12b hazilipiwi kodi unashangaza kidogo.....

NB/ mimi sio mchumi, wala sijasomea kodi,
Mkataba wa Azam TV na Yanga sio Sponsorship agreement ni Business Agreement lazima ulipie VAT.

Uwanjani ni biashara na unalipia Kodi ya wazi kabisa na kwamba kwenye uwanja kuna kodi kabla ya mgao wa pesa kwa VILABU, WAMILIKI WA UWANJA, TFF nk

Hii ni kwa sababu kuwa VAT haiangalii FAIDA Yako, pia VAT imewekwa wazi ni vitu gani vinasamehewa na vipi vinatozwa kodi hiyo.

Mkataba wa 26 B ni sponsorship ambao sasa utaenda kufinance shughuli za klabu kama kulipa wafanyakazi nk. Ikumbukwe msingi wa hizo klabu ni kujitolea na kwamba hata mwenyekiti wa Klabu hana mshahara zaidi ya posho.

Kinachozungumzwa hapa ni ile kodi ya kila mwaka ambayo inatozwa kila baada ya miaze mi3 (CORPORATE TAXES)
Hizo kodi zingine zote zinalipwa kama kawaida.

Nadhani umenielewa nachomaamisha.
 
Usipoelewa na hapa basi kuna shida mahali
Mkuu una kichwa kigumu, haya nioneshe CORPORATE TAX au huelewi kinachosemwa hapa.

VAT, SDL, BED NIGHT LEVY nk hizo zote hulipwa. Ila kodi kuu yaan CORPORATE TAX huwezi lipa kwenye NGOs ambazo hazina mlengo wa BIASHARA.

Ndio maana nimekuambia hapo kama utafanya shughuli tofauti na Taasisi yako lazima ukatwe kodi au mzee huelewi??
 
Ndio maana nimeona huna unalojua. We ulivyopimbi kwani shule zao wakipata pesa wanafanyia nini kama sio kuendeshea hayo hayo makanisa?? Wewe mzima kichwani lkn??

Au unadhani mapato ya hospitali zao wanagawana waumini???

Umeongea kindezi sana. Msingi wa kodi ni FAIDA. Kodi ambazo haziko generated na faida ni WTH Taxes, SDL, PAYE (Hii unakusanya kwa niaba ya watumishi/wafanyakazi) SDL, BED NIGHT nk.

Hizo PIT na CORPORATE TAXES msingi wake ni FAIDA except kwa wale PRESUMPTIVE.

Haya tuendelee hizo bil 26 za SIMBA, TRA watatoza KODI gani?? Jibu hilo swali acha wenge.
Haina haja hata ya kutukanana mkuu, leta fact maana usije kuwa unadandia vitu hata usivyovijua ila una kaza shingo tu
 
Attachments

  • 4579E70C-789A-4FA8-B6B2-9E826B67ABB8.png
    4579E70C-789A-4FA8-B6B2-9E826B67ABB8.png
    86.7 KB · Views: 5
Sasa kusahu herufi "I" ndio kitu cha kuja kubrag hapa? Kwamba nimeweza kuumba sentensi nzima bila kuwepo makosa ya kimuundo, leo herufi moja ndo itoshe kuvuruga context ya comment yangu? Wabongo bwana[emoji23].

Najua wewe ni one among Green&Yellow minions[emoji23]
Kusahu [emoji777] Kusahau [emoji736]
 
Mkuu una kichwa kigumu, haya nioneshe CORPORATE TAX au huelewi kinachosemwa hapa.

VAT, SDL, BED NIGHT LEVY nk hizo zote hulipwa. Ila kodi kuu yaan CORPORATE TAX huwezi lipa kwenye NGOs ambazo hazina mlengo wa BIASHARA.

Ndio maana nimekuambia hapo kama utafanya shughuli tofauti na Taasisi yako lazima ukatwe kodi au mzee huelewi??
We ni nduza kumbe, ulisema vilabu vya mpira havilipi kodi sababu vipo ktk kundi la NGO’s ama sio wewe? Nani alizungimzia corporate tax? Nimeongelea kodi ya mapato, vilabu vimepata mapato kwanini visilipe kodi? Kwani hujawahi sikia vile viingilio vya milangoni vya mechi huwa vinakatwa kodi? Viingilio tu vikatwe sembuse hayo mabilioni?

Unless niambie ulikua huelewi unabishana nini.
 
Haina haja hata ya kutukanana mkuu, leta fact maana usije kuwa unadandia vitu hata usivyovijua ila una kaza shingo tu
Soma juu uelewa mzee, hiko nachokwambia ndicho ulichotuma hapa, kwamba kama taasisi itajishughulisha na zile kazi zake kuu tu, pesa za misaada au michango haitozwi kodi. Ila kama utafanya shughuli zingine basi kodi itakuhusu. Mfano umefungu chuo na unatoza Ada kama vyuo vingine, hospitali, viwanda nk.
 
Mkuu una kichwa kigumu, haya nioneshe CORPORATE TAX au huelewi kinachosemwa hapa.

VAT, SDL, BED NIGHT LEVY nk hizo zote hulipwa. Ila kodi kuu yaan CORPORATE TAX huwezi lipa kwenye NGOs ambazo hazina mlengo wa BIASHARA.

Ndio maana nimekuambia hapo kama utafanya shughuli tofauti na Taasisi yako lazima ukatwe kodi au mzee huelewi??
By the way, sheria haikukatazi kufanya shughuli tofauti ndio maana unaona makanisa yanauza maji ya upako, kwani walijisajiri kuuza maji au kueneza neno la Mungu? Ukiuza maji ya upako na ile hela yote ikaitumia kuendesha shuguli za kueneza neno la Mungu hatukuombo kodi maana hamna kitu ila tu kama utauza na ukawa na salio, 25% ya hilo salio tunailima kodi. Naomba nipumzike kama haujaelewa kajisomee sehemu nyingine.
 
Soma juu uelewa mzee, hiko nachokwambia ndicho ulichotuma hapa, kwamba kama taasisi itajishughulisha na zile kazi zake kuu tu, pesa za misaada au michango haitozwi kodi. Ila kama utafanya shughuli zingine basi kodi itakuhusu. Mfano umefungu chuo na unatoza Ada kama vyuo vingine, hospitali, viwanda nk.
Bado uko wrong maana hayo yote unayoyataja sheria haikuzuii kuyafanya, na ukiyafanya hakukufanyi wewe kama non profit organization ulipe kodi ila zipo sababu za kisheria zinazohusisha matumizi ya hayo mapato ya shughuli hizo.
 
We ni nduza kumbe, ulisema vilabu vya mpira havilipi kodi sababu vipo ktk kundi la NGO’s ama sio wewe? Nani alizungimzia corporate tax? Nimeongelea kodi ya mapato, vilabu vimepata mapato kwanini visilipe kodi? Kwani hujawahi sikia vile viingilio vya milangoni vya mechi huwa vinakatwa kodi? Viingilio tu vikatwe sembuse hayo mabilioni?

Unless niambie ulikua huelewi unabishana nini.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kodi ya Mapato unaijua?? Haya ziko 2
1. CORPORATE TAX
2. PERSONAL INCOME TAX

Hizo zingine sio za mapato mkuu
1. Kodi ya Ongezeko la thamani (VAT)

2. Kodi ya Zuio (Wihholding taxes)

3. Kodi inayotokana na unafuu wowote kwa mfanyakazi (SDL)

4. Capital Gain Taxes
Nk.

Haya turudi hapo kwenye Mapato ya Klabu, ambapo yameenda direct kwenye shughuli zao, mfano wamepata Bil 30, wananunua Jezi, mipira, magoli, Nyavu nk.

Usichanganye vitu, ninachosisitiza ni kwamba hivo vilabu hiyo Kodi walilipa lini ikiwa bado sio KAMPUNI na wanajiendesha kwa Misaada na michango ya udhamini sambamba Collection fees.

Ulaya wao wako more advanced ni PURE BUSINESS ila kwetu huku bado tuko kwenye Ridhaa sio Mpira kwa ajili ya pesa.
 
By the way, sheria haikukatazi kufanya shughuli tofauti ndio maana unaona makanisa yanauza maji ya upako, kwani walijisajiri kuuza maji au kueneza neno la Mungu? Ukiuza maji ya upako na ile hela yote ikaitumia kuendesha shuguli za kueneza neno la Mungu hatukuombo kodi maana hamna kitu ila tu kama utauza na ukawa na salio, 25% ya hilo salio tunailima kodi. Naomba nipumzike kama haujaelewa kajisomee sehemu nyingine.
Sasa hapo mkuu kama hujui hata DANGOTE vitabu vyake vikisoma NIL BALANCE ua Negative hatolipa kodi au wewe hujui hilo??
 
Bado uko wrong maana hayo yote unayoyataja sheria haikuzuii kuyafanya, na ukiyafanya hakukufanyi wewe kama non profit organization ulipe kodi ila zipo sababu za kisheria zinazohusisha matumizi ya hayo mapato ya shughuli hizo.
Huwezi fanya biashara usitozwe kodi otherwise uwe umpeta hasara mkuu, yaan uuze bidhaa ambazo mtaani pia wafanyabiashara wanauza afu usilipe KODI?

We jamaa....
 
Kaka naomba unisaidie hiyo statement wanamaana gani
Ooh wanamaanisha kwamba, huu udhamini ni kwa timu ya wakubwa tu ya wanaume, timu ambayo ipo kambi Misri. Hizi timu zingine yaani Simba Queens, Simba u20, u17 n.k wanaweza kutafutiwa mdhamini mwingine. I hope umenielewa...
 
Huwezi fanya biashara usitozwe kodi otherwise uwe umpeta hasara mkuu, yaan uuze bidhaa ambazo mtaani pia wafanyabiashara wanauza afu usilipe KODI?

We jamaa....
Sasa unasemaje huwezi kufanya biashara usitoze kodi then unakuja kujikataa na hiyo otherwise upate hasara, kwani ukipata hasar hujafanya biashara? Kodi haitozwi kwenye biashara ila tunatoza ulichota ktk hiyo biashara.

Nje ya maada kidogo, hivi haujawahi kusikia wafanya biashara mara nyingi hawalipi kodi? Au hujasoma kwani hata kitabu cha rich dad poor dad jinsi jamaa anavyoelezea wafanya biashara wanaweza fanya wasilipe kodi au wakalipa kidogo?

Mlipa mzuri ni mwajiliwa tu anayepigwa withholding.

All in all hakuna institution hailipi kodi ila zinafanya ujanja tu kupunguza au kukwepa kulipa, ni sawa na wanaosema deni halifungi ndio kama wewe unaesem NGO na makanisa hayalipi kodi.
 
Sasa hapo mkuu kama hujui hata DANGOTE vitabu vyake vikisoma NIL BALANCE ua Negative hatolipa kodi au wewe hujui hilo??
Nalijua vizuri sana....hatukua tunaongelea jambo kama hili. Atalipaje kama hakuna alichoingiza.
 
Back
Top Bottom