Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Pamoja sana mkaliMimi nipo mda wote arif sijawai jificha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkaliMimi nipo mda wote arif sijawai jificha.
Kimango ni fedha mkuu lisikupe shida hilo nenoKimango [emoji777] Kiwango [emoji736]
[emoji16][emoji16][emoji16]Teh! Teh! Mkuu.
Sina shaka na utendaji wa Barbara, ila huwa najiuliza hivi siku CEO akibeba mimba haya mautopolo si yatatusema sana haya?
Mwanaadamu kuongea ni jadi yake ila maumbile yake ndio yanamuhitaji kufanya ivyo kwani na yeye ni binadamu pia,na yeye pia anahitaji kufanya mambo yanayohitaji furaha kwenye mwili wake,ni kama vile unavyomuona Dc Joketi kwasasa ni mjamzito ila kutokana na kazi yake anafanya pale anapoweza asipoweza anatuma mwakilishi,,kwani mfano Barbara pale akawa anahumwa amelazwa inamaana kama simba wasicheze kisa yeye,Teh! Teh! Mkuu.
Sina shaka na utendaji wa Barbara, ila huwa najiuliza hivi siku CEO akibeba mimba haya mautopolo si yatatusema sana haya?
Ndio umejua leo ! Siku mnatangaza udhamini wenu wa sportpesa kauli hii haikuwepoHayo yote bila ubingwa na kuifunga yanga ni hewa tu kwa mashabiki
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.Mkuu nani alikuambia NGO’s hazilipi income tax? NGO’s, charitable organizations na religious institutions zinalipa kodi kama kawaida, watu wengi hudhani hizi institutions ziko exempted kulipa kodi...sema tu mode ya kuzi tax iko very technical. Kwa msaada zaidi soma kufungu cha 64 cha The Income Tax Act utapata mwanga. Hili ni eneo pia mie nimefanya Thesis yangu ya undergraduate naweza kukupa lecture kidogo. Huwezi kuingiza faida halafu eti wakuache tu (vilabu vya mpira kwa sasa vinafanya biashara so TRA hawezi kuwaacha)
😂Tumepigwa humu 😂😂😂
Idris alilipa kodi kwa sababu ameingiza kipata baada ya kufanya kazi fulani, na itambulike wazi PAYE sio kwa wafanyakazi tu, hata mtu binafsi unapaswa kulipa kodi hiyo pindi uingizapo kipato fulani.Kama idris sultan mpunga wa big brother aliulipia income tax itakuwa kwa timu,kama kanisani tunatoa fungu la kumi kwa kila kipato mwigulu ndio akuachie
Kodi analipa simba income taxIdris alilipa kodi kwa sababu ameingiza kipata baada ya kufanya kazi fulani, na itambulike wazi PAYE sio kwa wafanyakazi tu, hata mtu binafsi unapaswa kulipa kodi hiyo pindi uingizapo kipato fulani.
Mkataba wa Simba na M-Bet unakata kodi kwa nani?? Simba au M-bet?? Na kodi hiyo ina uhusiano gani?? Kumbuka ni sponsorship na kwa M-Bet ni advertisement so tuambie hapo TRA wanatoza kodi ipi??
Inalipa INCOME tax kwa sababu zipi?? Simba wao ni NGOs na vyanzo vya mapato yao ni Ada za uanachama, na udhamini tu. Shughuli zao ni za kimichezo (kuburudisha) na hawako kibiashara rather than kuintertain.Kodi analipa simba income tax
VATInalipa INCOME tax kwa sababu zipi?? Simba wao ni NGOs na vyanzo vya mapato yao ni Ada za uanachama, na udhamini tu. Shughuli zao ni za kimichezo (kuburudisha) na hawako kibiashara rather than kuintertain.
INCOME TAX - PERSONEL
CORPORATE TAX - ENTITY
Simba wanalipa SDL nk Audited FS haijawahi kuonesha wanalipa CORPORATE
Nimeamini kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, wewe dada unamuonea wivu sana BabraMo alijichanganya sana kumleta huyu malaya wake Simba Sc
VAT sio CORPORATE TAX sasa ndio maana nimesema hapa SIMBA halipi CORPORATE tax, yy ni hizo SDL, VAT nk hata hiyo VAT utategemea pesa iliyoingia na sio mkataba unasemaje kwa miaka 5.
unaweza kuwa kijani lialia lakini huzuiwi kushabikia Simba. Au bado ule usemi "IPO SIKU KILA MTU ATASHABIKIA SIMBA" haujauamini?Ujue nilishangaa sana maana huwa nahisi yule jamaa ni kijan lia lia sana,,,,kumbe ana jambo lake 🤣 😂 😆 😄
Mkataba unasemaje, huathiri pesa inayoingia.VAT sio CORPORATE TAX sasa ndio maana nimesema hapa SIMBA halipi CORPORATE tax, yy ni hizo SDL, VAT nk hata hiyo VAT utategemea pesa iliyoingia na sio mkataba unasemaje kwa miaka 5.
Sawa lakini kwa hizi false hope za michezo ya kubashiri zinawafanya vibaya vijana hawana savings kabisaMedieval mindset
Mmekaa kubana Bana watu Tu
Mabingwa wa Mapinduzi CupKuifananisha Simba na takataka nyingine ni utovu wa nidhamu!