Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Umeelewa kwanza ulichoenda kukisoma?
Umeeleza hizo charitable business zinazozungumziwa na kifungu nilichokupa?
Procedure zilizotelewa ili waweze kuwa taxed umeziona? Maana nisijekuwa nabishana na wewe kumbe umeenda kupitisha jicho tu.
Sheria inaposema charitable business usihisi ni kuuza na kununua tu, misaada wanayopata pia iko treated kama ni moja wapo ya shighuli zao na mwisho wa siku lazima wapeleke
Mapato na matumizi yao TRA na hapo ndio shughuli ya kutozwa kwao inapokuja.
Hapa nahitaji kupeana darasa kidogo na wewe na ndio maana nikakuambia njia yao ya kulipa kodi ni bit complex kama hujui unahitaji kueleweshwa. Ni eneo nalielewa na sihitaji kubishana na wewe kama hauelewi.
Kwa akili yako Yanga waingi 4B na Simba waingize 5B na TRA inawaangalia tu eti kisa ni Non-profit organizations?
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.

Kodi ambazo watalipa ni pamoja na SDL labda, lkn kama Timu ziko katika kundi la Charitable tu. Hakuna technical kwenye KODI kaka. Kodi sio Siri.
Unatoza INCOME TAX/CORPORATE TAX kwa sababu zipi mkuu? Embu fafanua hapa kidogo ueleweke kama kweli ni INCOME TAX/CORPORATE AU NI AINA NYINGINE YA KODI.