Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Umeelewa kwanza ulichoenda kukisoma?
Umeeleza hizo charitable business zinazozungumziwa na kifungu nilichokupa?
Procedure zilizotelewa ili waweze kuwa taxed umeziona? Maana nisijekuwa nabishana na wewe kumbe umeenda kupitisha jicho tu.

Sheria inaposema charitable business usihisi ni kuuza na kununua tu, misaada wanayopata pia iko treated kama ni moja wapo ya shighuli zao na mwisho wa siku lazima wapeleke
Mapato na matumizi yao TRA na hapo ndio shughuli ya kutozwa kwao inapokuja.

Hapa nahitaji kupeana darasa kidogo na wewe na ndio maana nikakuambia njia yao ya kulipa kodi ni bit complex kama hujui unahitaji kueleweshwa. Ni eneo nalielewa na sihitaji kubishana na wewe kama hauelewi.

Kwa akili yako Yanga waingi 4B na Simba waingize 5B na TRA inawaangalia tu eti kisa ni Non-profit organizations?
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.
Kodi ambazo watalipa ni pamoja na SDL labda, lkn kama Timu ziko katika kundi la Charitable tu. Hakuna technical kwenye KODI kaka. Kodi sio Siri.

Unatoza INCOME TAX/CORPORATE TAX kwa sababu zipi mkuu? Embu fafanua hapa kidogo ueleweke kama kweli ni INCOME TAX/CORPORATE AU NI AINA NYINGINE YA KODI.
 
Umeelewa kwanza ulichoenda kukisoma?
Umeeleza hizo charitable business zinazozungumziwa na kifungu nilichokupa?
Procedure zilizotelewa ili waweze kuwa taxed umeziona? Maana nisijekuwa nabishana na wewe kumbe umeenda kupitisha jicho tu.

Sheria inaposema charitable business usihisi ni kuuza na kununua tu, misaada wanayopata pia iko treated kama ni moja wapo ya shighuli zao na mwisho wa siku lazima wapeleke
Mapato na matumizi yao TRA na hapo ndio shughuli ya kutozwa kwao inapokuja.

Hapa nahitaji kupeana darasa kidogo na wewe na ndio maana nikakuambia njia yao ya kulipa kodi ni bit complex kama hujui unahitaji kueleweshwa. Ni eneo nalielewa na sihitaji kubishana na wewe kama hauelewi.

Kwa akili yako Yanga waingi 4B na Simba waingize 5B na TRA inawaangalia tu eti kisa ni Non-profit organizations?
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.
We jamaa vp? Uelewa wako uko chini sana. Kwako wewe kuingiza bil 4 ndio kigezo cha wao kulipa kodi???

Sasa hizi Financial Statements za kazi gani kama timu ikiingiza hizo pesa tu basi Kodi inalipwa??

Msingi wa hoja hapa ni kwamba SIMBA watakatwa kodi kwenye ile BIL 26 haya tuambie ni kodi gani itakatwa pale?

Hakuna sheria inaelekeza vile unavyosema wewe, only Charitable entity ambazo zinajiendesha Kibiashara, mfano Kanisa Katoliki wana Shule zao, vyuo vyao na hospotali zao, wao hulipa kodi as wamejiingiza katika business directly na tena unasajili hizo shule, hospital, vyuo kwa majina yao.

Pesa inayoingia kanisani kama Msaada, Sadaka haikatwi kodi yoyote ile. Vile vile Mtu au taasisi anaruhusiwa kutoa msaada kwa shirika, kikundi, au watu fulani bila kuathiri ulipaji wake wa kodi as inaonekana amejitolea katika mambo fulani ya kijamii.

Usikariri vifungu kama huelewi uliza kwanza.

Haya eleza hapa TRA watachukua kiasi gani kwenye ule MKATABA??
 
Nahisi wewe ndio hielewi unachoongea, sijakuambia 26B ndio inakatwa kodi, nipo kwenye issue yako uliyosema Simba ni NGO hivyo haiwezi kukatwa kodi ndio nilikuuliza aliekuambia NGO’s hazikatwi kodi ni nani? Naona unaanza kurukaruka.
Pili hayo makanisa hata kama yasingekua na shile ila ile misaada tu na hizo sadaka bado wanaweza kuzilipia kodi as long as mapato na matumizi yao mwisho wa mwaka watakutwa wana salio.

Pili, kigezo cha makanisa kuwa na shule au hospitals haimaanishi ndio watatozwa kodi, vipi ikiwa kile wanachokipata ktk hizo shule na hospital wakakitumia kuendesha shughuli zao za kila siku na mwisho wa mwaka wa kodi hesabu zao zikaonyesha hawana kitu watatozwa nini?

Tatizo lako unavamia kitu ambacho hata hukijui...ukitaka kueleweshwa uliza.
 
Wrong move, na kama TMO hukustahili kuwa afisa hata kidogo.

Sadaka haitozwi kodi popote pale, rudi kasome upya sheria au omba aindikwe kwa kiswahili labda utaelewa.

Sheria inakutaka kusubmit vitabu vya hesabu, na sio kukutoza kodi. Vitabu vya hesabu vitaonesha shughuli zako unazofanya ambapo huwezi tozwa Corporate tax hata kidogo.

NGOs wachopaswa kilipa ni PAYE na labda SDL.

Wakiagiza magari wanasamehewa kodi, wakiagiza vifaa vya hospitali zao wanasamehewa kodi nk.

Hali kadhalika kwenye hizo timu hazina hizo kodi na ndio maana matajiri wengi hutumia mgongo huo kujifanya wanawekeza.

Ingekuwa hivyo SIMBA au YANGA ndio zingekuwa zinalipa wachezaji wao, lkn amini nakwambia wachezaji wengi wanalipwa na watu tofauti tofauti na sio Klabu kama klabu.

Usisome kitu kwa kukariri mkuu, najua unataka kujua zaidi ila nakuomba kakae chini soma tena. Kasome MISAMAHA YA KODI ndio uje hapa ueleze hicho unachofikiria.
 
Ndio maana nimeona huna unalojua. We ulivyopimbi kwani shule zao wakipata pesa wanafanyia nini kama sio kuendeshea hayo hayo makanisa?? Wewe mzima kichwani lkn??

Au unadhani mapato ya hospitali zao wanagawana waumini???

Umeongea kindezi sana. Msingi wa kodi ni FAIDA. Kodi ambazo haziko generated na faida ni WTH Taxes, SDL, PAYE (Hii unakusanya kwa niaba ya watumishi/wafanyakazi) SDL, BED NIGHT nk.

Hizo PIT na CORPORATE TAXES msingi wake ni FAIDA except kwa wale PRESUMPTIVE.

Haya tuendelee hizo bil 26 za SIMBA, TRA watatoza KODI gani?? Jibu hilo swali acha wenge.
 
VAT sio CORPORATE TAX sasa ndio maana nimesema hapa SIMBA halipi CORPORATE tax, yy ni hizo SDL, VAT nk hata hiyo VAT utategemea pesa iliyoingia na sio mkataba unasemaje kwa miaka 5.
Hii mistari miwili ya mwisho imethihirisha hujui masual ya Kodi vizuri ukiingiza Zaid million 100 revenue Vat lazima ulipe
 
Kwa akili yako Yanga waingi 4B na Simba waingize 5B na TRA inawaangalia tu eti kisa ni Non-profit organizations?
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.
Hapa umebutia na hiyo thesis yako inaonekana ulicopy na kupaste
 
Wrong move, na kama TMO hukustahili kuwa afisa hata kidogo.

Sadaka haitozwi kodi popote pale, rudi kasome upya sheria au omba aindikwe kwa kiswahili labda utaelewa.

Sheria inakutaka kusubmit vitabu vya hesabu, na sio kukutoza kodi. Vitabu vya hesabu vitaonesha shughuli zako unazofanya ambapo huwezi tozwa Corporate tax hata kidogo.

NGOs wachopaswa kilipa ni PAYE na labda SDL.

Wakiagiza magari wanasamehewa kodi, wakiagiza vifaa vya hospitali zao wanasamehewa kodi nk.

Hali kadhalika kwenye hizo timu hazina hizo kodi na ndio maana matajiri wengi hutumia mgongo huo kujifanya wanawekeza.

Ingekuwa hivyo SIMBA au YANGA ndio zingekuwa zinalipa wachezaji wao, lkn amini nakwambia wachezaji wengi wanalipwa na watu tofauti tofauti na sio Klabu kama klabu.

Usisome kitu kwa kukariri mkuu, najua unataka kujua zaidi ila nakuomba kakae chini soma tena. Kasome MISAMAHA YA KODI ndio uje hapa ueleze hicho unachofikiria.
Kuna kipindi Dr shoo aliumuomba rais magufuli awapunguzie Kodi na siku hiyo nilikuwepo kanisani ilikua ni tarehe 30 April 2017 Sasa unavyosema hawalipi Kodi sijui unatumia vigezo vipi
 
Hii mistari miwili ya mwisho imethihirisha hujui masual ya Kodi vizuri ukiingiza Zaid million 100 revenue Vat lazima ulipe
We jamaa vipi?? Kwahiyo hata ukiuza zana za kilimo unalipa VAT?? Acha kukariri basi mbona unatia aibu hapa??

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa vp??

1. ZERO RATED
2. EXEMPT
3. TAXED

Sio kila mauzo ya Mil 100 kwenda juu ya VAT mkuu. Naamini nimekufungua kidogo.
 
mkataba wa Yanga na Azam Tv walisema wazi kwamba ni bil 40+ kwa miaka 10,ila wakasema Yanga atakua anapokea sijui 3+ baada ya Kodi.....

hata mkataba wa bodi ya ligi na Azamtv bado walisema kuna kodi ya serikali kiasi flani (18%),

mapato ya uwanjani pia kuna VAT huwa inakatwa (mechi za simba&yanga mapato huvuka 100m)

..........unaposema hizi 26b au 12b hazilipiwi kodi unashangaza kidogo.....

NB/ mimi sio mchumi, wala sijasomea kodi,
 
Kuna kipindi Dr shoo aliumuomba rais magufuli awapunguzie Kodi na siku hiyo nilikuwepo kanisani ilikua ni tarehe 30 April 2017 Sasa unavyosema hawalipi Kodi sijui unatumia vigezo vipi
Hawalipi kodi kama Kanisa, na hata magari ya kanisa hayalipiwi ushuru wowote yako exempted na kodi au tuseme wana misamaha ya kodi.

Dr Shoo alichoomba ni zile agency za kanisa kama Shule, Hospitali, Maduka, Vyuo, viwanda nk, ambayo kanisa hutumia kama kujiingizia kipato lkn ktk mfumo wa kibiashara ndio wapunguziwe kodi. Kanisa kama kanisa halitozwi kodi.

Hizo hospitali, Shule, Maduka nk hutozwa ili kubalance na baishara zingine za watu wa kawaida ambao nao hutua au kuuza bidhaa hizo hizo lkn wanalipia kodi.

Nadhani nimekujibu kwa ufupi lkn katika njia ya kueleweka mkuu.
 
Back
Top Bottom