Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Teh! Teh! Mkuu.

Sina shaka na utendaji wa Barbara, ila huwa najiuliza hivi siku CEO akibeba mimba haya mautopolo si yatatusema sana haya?
Mwanaadamu kuongea ni jadi yake ila maumbile yake ndio yanamuhitaji kufanya ivyo kwani na yeye ni binadamu pia,na yeye pia anahitaji kufanya mambo yanayohitaji furaha kwenye mwili wake,ni kama vile unavyomuona Dc Joketi kwasasa ni mjamzito ila kutokana na kazi yake anafanya pale anapoweza asipoweza anatuma mwakilishi,,kwani mfano Barbara pale akawa anahumwa amelazwa inamaana kama simba wasicheze kisa yeye,
 
Mkuu nani alikuambia NGO’s hazilipi income tax? NGO’s, charitable organizations na religious institutions zinalipa kodi kama kawaida, watu wengi hudhani hizi institutions ziko exempted kulipa kodi...sema tu mode ya kuzi tax iko very technical. Kwa msaada zaidi soma kufungu cha 64 cha The Income Tax Act utapata mwanga. Hili ni eneo pia mie nimefanya Thesis yangu ya undergraduate naweza kukupa lecture kidogo. Huwezi kuingiza faida halafu eti wakuache tu (vilabu vya mpira kwa sasa vinafanya biashara so TRA hawezi kuwaacha)
Charitable na NGOs hazilipi Income tax mpaka pale zifanye shughuli za kibiashara, wewe ndio unapaswa kusoma vizuri.

Kodi ambazo watalipa ni pamoja na SDL labda, lkn kama Timu ziko katika kundi la Charitable tu. Hakuna technical kwenye KODI kaka. Kodi sio Siri.

Unatoza INCOME TAX/CORPORATE TAX kwa sababu zipi mkuu? Embu fafanua hapa kidogo ueleweke kama kweli ni INCOME TAX/CORPORATE AU NI AINA NYINGINE YA KODI.
 
Kama idris sultan mpunga wa big brother aliulipia income tax itakuwa kwa timu,kama kanisani tunatoa fungu la kumi kwa kila kipato mwigulu ndio akuachie
Idris alilipa kodi kwa sababu ameingiza kipata baada ya kufanya kazi fulani, na itambulike wazi PAYE sio kwa wafanyakazi tu, hata mtu binafsi unapaswa kulipa kodi hiyo pindi uingizapo kipato fulani.

Mkataba wa Simba na M-Bet unakata kodi kwa nani?? Simba au M-bet?? Na kodi hiyo ina uhusiano gani?? Kumbuka ni sponsorship na kwa M-Bet ni advertisement so tuambie hapo TRA wanatoza kodi ipi??
 
Kodi analipa simba income tax
 
Kodi analipa simba income tax
Inalipa INCOME tax kwa sababu zipi?? Simba wao ni NGOs na vyanzo vya mapato yao ni Ada za uanachama, na udhamini tu. Shughuli zao ni za kimichezo (kuburudisha) na hawako kibiashara rather than kuintertain.

INCOME TAX - PERSONEL
CORPORATE TAX - ENTITY

Simba wanalipa SDL nk Audited FS haijawahi kuonesha wanalipa CORPORATE
 
VAT
 
VAT sio CORPORATE TAX sasa ndio maana nimesema hapa SIMBA halipi CORPORATE tax, yy ni hizo SDL, VAT nk hata hiyo VAT utategemea pesa iliyoingia na sio mkataba unasemaje kwa miaka 5.
 
Ujue nilishangaa sana maana huwa nahisi yule jamaa ni kijan lia lia sana,,,,kumbe ana jambo lake 🤣 😂 😆 😄
unaweza kuwa kijani lialia lakini huzuiwi kushabikia Simba. Au bado ule usemi "IPO SIKU KILA MTU ATASHABIKIA SIMBA" haujauamini?
 
VAT sio CORPORATE TAX sasa ndio maana nimesema hapa SIMBA halipi CORPORATE tax, yy ni hizo SDL, VAT nk hata hiyo VAT utategemea pesa iliyoingia na sio mkataba unasemaje kwa miaka 5.
Mkataba unasemaje, huathiri pesa inayoingia.
 
Akina AZIZ KI wanakufa huko kupotea njia...club ya hapa hapa tu...
 
Napromise kuja na paper kuhusu mbivu na mbichi za michezo ya kubashiri na kubahatisha
 
Kuifananisha Simba na takataka nyingine ni utovu wa nidhamu!
 
Back
Top Bottom