Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

TUNATAKA TUCHANGANYE NA HIZI 26 ZA M BET ILI TUENDESHEE CLUB YETU
Utaolewa bila mahari. Yaani Club yenu unataka wanaume wengine ndo wakuchangie? Kesho ukipata Ujauzito utamlalamikia nani kama unapenda kuchangiwa?😂
 
Utaolewa bila mahari. Yaani Club yenu unataka wanaume wengine ndo wakuchangie? Kesho ukipata Ujauzito utamlalamikia nani kama unapenda kuchangiwa?😂
Haya ya udhamini wa Simba hayakuhusu wewe😎
 
Umechanganya sana mambo, ndiyo maana hamuelewani.
Simba na Yanga zinalipa kodi. VAT kwenye mikataba, PAYE kwa wafanyakazi wao n.k ...
 
Watatoza 18% VAT
 
Wa Cuba wanajua
 
Umechanganya sana mambo, ndiyo maana hamuelewani.
Simba na Yanga zinalipa kodi. VAT kwenye mikataba, PAYE kwa wafanyakazi wao n.k ...
Mkuu najua hilo, nikichosema mm ni ile CORPORATE TAX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…