Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Hata ule wa bilion 20.....ambao umeinunua KOLO fc kwa maisha yote....mlisema Ni mkataba mnono

Now mmekuja na mama...beti
MAKOLO mmerogwa nyie [emoji23][emoji23][emoji23]

Unaizungumzia Simba ipi?

MIMI NINA SWALI KWA MUDY, B20 ZETU ZIKO WAPI?

Mkataba ndio ule ule wa M bet bilion 12.5 kwa miaka mitano. Kama walifikiri ni siri hakuna siri ya watu zaidi ya kumi. Watakacho fanya ni kuwalaghai mashabiki wa mbumbumbu fc.

Mo alijichanganya sana kumleta huyu malaya wake Simba Sc

Nawaambieni tu kuwa yule sport pesa hajafikia viwango vya kuitwa Mdhamini


Yule ni muhisani
 
Thamami ya team 20B thamami ya mkataba kwa miaka mitano 26B [emoji36][emoji36] basi sawa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unatumia akili za wapi kusema thamani ya team ni Tshs 20 B...... sikiliza nikueleweshe hizo 20B ni thamani ya asilimia 49 Mo alizo nunua miaka minne iliyopita... kwa sasa asilimia 49 haziwezi tena kuwa na thamani ya 20B. nashangaa watu mnaongelea 20B ya miaka minne iliyo pita.
 
Mo alijichanganya sana kumleta huyu malaya wake Simba Sc
20220801_13403329372.jpg

Mkuu labda kinakuuma huyu dada kuumbwa sura nzuri na Mungu
 
Back
Top Bottom