Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke mkuu, ila ki ukweli kuna vitu vinadhangaza tena kufanywa na mwanamme dhidi ya mwanamke. Sijaona huo ufhamini unahusiana vipi na kuanza kumtolea shombo mdada wa watu.
 
Timu ishinde sio blah blah, sahizi kuibetia simba kuna 100% uwezekano wa kupoteza
ah uhakika mwanawane yaani mtoke kwenye udhamini wa 1billion to 5billion alafu mshindwe kushinda ligi ya nbc sii utani huo. hii ligi ata tukuweke wewe hapo simba mbona unashinda tuu bila wasiwasi.

labda uniambia champions league hapo sawa maana kule napo ni shughuli
 
Yani mkataba wa simba kuna watu roho zinawauma wanataka kufa kabisa .
 
Mimi nabaki najiuliza, wale waliokuwa wamekomalia eti mkataba wa Simba na M-bet ni 15b per 5 yrs walikuwa wametoa wapi hizo data??

Tukawaambia "Jamani simba walisema watatangaza thamani ya mkataba tar 1 Aug" lakini wapi wakakomaa tu.

Hata huko twitter wale wanaojiita wachambuzi nao wakakomalia hilo hilo.

Itoshe kuhitimisha kuwa "Hii nchi ina WAPUMBAVU wengi sana, Hata kwenye lile kundi la watu wanaojiita wasomi, nako kumejaa wapumbavu wengi sana.
Mwenye Financial statements za M-bet atuwekee hapa tujadili kwa uhalisia sasa.
 
Back
Top Bottom