Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

Kwa udhamini huu wa 26 hakika Simba inaenda kuwa bora zaidi ya miaka iliyopita. Huu ni udhamini mkubwa kwa timu za Tanzania na inaonesha sasa mpira wetu unapiga hatua.
 
Toka aje simba hamna utulivu ni kufukuza makocha na wachezaji tu. Mwishowe kufungwa hovyo tu
Makocha kufukuzwa hiyo ni desturi ya club zote ila kwa hapa ndani imekuwa extreme. Hata kabla ya babra kuja bado kulikuwa na timua timua ya makocha

Lakini tusiangalie tu kijuujuu mi nadhani jambo la msingi la kujiuliza ni kweli wamestahii kutimuliwa au la?

Je replacements zao zimekidhi vigezo au ndo wametoa bunduki wameweka Rungu?

Kama replacements ni za standard za juu, basi kumbe ilikuwa ni jambo la busara kuwatimua
 
Toka aje simba hamna utulivu ni kufukuza makocha na wachezaji tu. Mwishowe kufungwa hovyo tu
Duuuh ko wachezaji wakiwa chini ya kiwango wabaki? Au kocha asipotimiza malengo ya club aachwe?? Yaan huu msimu m1 ndo barbrah anaonekana mbaya?? Mmmh extrooo hapana hauko serious.

Al Ahly wametimua pitso kisa kukosa CAFCL mwaka huu, au hukuona?? Kuna team isiyofungwa duniani??
 
Mkataba ndio ule ule wa M bet bilion 12.5 kwa miaka mitano. Kama walifikiri ni siri hakuna siri ya watu zaidi ya kumi. Watakacho fanya ni kuwalaghai mashabiki wa mbumbumbu fc.
Tuache umbea vijana utoe huo mkataba wa b12. Usishangae ni mhitimu wa chuo kikuu halafu unaongea vitu vya kusikia
 
Hata ule wa bilion 20.....ambao umeinunua KOLO fc kwa maisha yote....mlisema Ni mkataba mnono

Now mmekuja na mama...beti
MAKOLO mmerogwa nyie [emoji23][emoji23][emoji23]
Roho zinawauma bure tu, lakini hata nyinyi mnajua kuwa umaarufu wa Simba Sc na ufikiaji wa hatua kubwa (Brand) ni mkubwa kuliko ule wa kwenu (Yanga Sc).

Mfano mzuri ile VIST TZ ingekuwa na mchongo wa hela unadhani ni nani alistahili kunufaika nayo, incase vilabu viwili vingeamua kitumiwa?

Brand ya Simba Sc ni kubwa kuliko ile ya Yanga.
 
Back
Top Bottom