John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Simba yawaambia mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ungekuwepo wewe lazima wale vyura ungewachapa za uso walikua wanapiga makelele yasiyo na maaaana sasa unategemea umeandaaa Sherehe yako halafu mgeni tena aje awe kerro?? Siku moja moja ngoja watiwe adabu kama hiyo ya jana ili wawe na nidhamuWaliopiga wenzao wachukuliwa hatua za kisheria,mpira ni burudani na sio vita au uhasama.