Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hawa mabeki ni wajinga sana, hasa huyu Onyango bora hata ile mechi hakuwepo.

Ni lazima kutakuwa na Penalty hii mechi.
 
Enock usiamke lala hivyo hivyo shuka lipo njiani
 
Kesho lazima muamke na stori za kumkataa Pablo! Kisa ameanzisha mabeki tupu!

Timu haiko organized kabisa! Mfumo hauleweki ni wa aina gani! Wachezaji wameambiwa wakabe tu. 😬😬😬
Tulia wewe hujafikia vigezo vya kumkosoa escobar
 
Mmh jamaa wanatupumulia naangalia huku presha imepanda niko na vidonge pemben
 
Manula apewe ubunge
Zikiwa nyingi sana maana yake probability ya kuruhusu goli inaongezeka, mabeki watulie wacheze mipira na sio kusababisha faulo karibu na goli.


Wakabie juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…