Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutuvunjia heshima aisee...Sakho anataka kuikimbia gemu,na huyo ndiyo Mungu wa Mikia
Hata ile ilioupiga mwingi pale FNB wakati tunakula 4 kwa kizer siioni hapa, ile mechi tulikufa ila tulimiliki mpira kwa 68% tulifeli tu kwenye kupanda juu sana.Ile Simba iliyoupiga mwingi mechi na Al Ahaly ya marudiano kule Misri iko wapi?
Jamaa anapambana Sana aiseeManula kipa jamani tuache utani
Ndio kazi yake analipwa mshahara kwa kazi hiyo.Manula kipa jamani tuache utani
It's a psychological matter.Kwani wakiwa uwanjani wanatusoma huku JF?
Halina ubishi, ni chuma kwelManula kipa jamani tuache utani