Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Ile Simba iliyoupiga mwingi mechi na Al Ahaly ya marudiano kule Misri iko wapi?
Hata ile ilioupiga mwingi pale FNB wakati tunakula 4 kwa kizer siioni hapa, ile mechi tulikufa ila tulimiliki mpira kwa 68% tulifeli tu kwenye kupanda juu sana.

Naona mentality ya Da rossa na Pablo ni tofauti, angalia hata upangaji wa kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…