Utatuona hivi hivi tukitinga nusu fainaliHT: Nyau nyau
Dah!..Pablo arekebishe makosa aisee, tuwe makini sana kwenye hichi kipindi cha pili.HT
0-0
Ile kasi yao waliyoanza nayo sio mbaya ni ubora wa kipa Manula tu ndo umetuokoa.Tatzo Wameanza kwa kasi sana saiz wamekata moto
Nataka Niangalie kwa utube wakuu nipeni maujanja
Hadi hapo tumefanikiwa.Kwa hiki kikosi, ikitokea first half imesha bila-bila basi tunafuzu mapema tu.
Shidi ni ikitokea mfumo ukafeli kisha tukaruhudu goli kipindi cha kwanza, mambo yatakuwa magumu sana.
NB: Hapo ni kukaba mwanzo mwisho maana hakuna wachezaji wa kumiliki mpira, wachezaji watahitaji mapafu ya mbwa leo😄.
Hilo liko wazi, kwa hapa Tz makipa bora ni kutoka Simba Sc na yule Misheli dogo wa Yanga.Manula kipa jamani tuache utani
Leo anachukua man of the matchIle kasi yao waliyoanza nayo sio mbaya ni ubora wa kipa Manula tu ndo umetuokoa.