Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu Watanzania ni wanafiki sana,hilo lisikusumbie,bila Manula pale Mikia mngekula 2 mpaka sasaManula kafanya kitu kikubwa sana sema ndio hivyo tumekuwa wepesi sana kusahau moments kama hizi pindi akoseapo kosa moja linafuta mema yote kama ya leo
Sema Tanzania hii mechi tunaimaliza mapema, au hujasoma jezi zinawakilisha kina nani?Mikia hii mechi mnaweza kuimaliza mapema maana naona hawa jamaa sijaona jambo jipya sana
Yule Manula wa uto au simba?Mkuu Watanzania ni wanafiki sana,hilo lisikusumbie,bila Manula pale Mikia mngekula 2 mpaka sasa
Kwasababu ni sheria tu ila ingependeza katika hizo nafasi tatu tuweke hata simba queen na simba bHivi mwakani tunaupeleka timu ngapi kimataifa!?
Daaah nhoja tuone iatakavyo kuwaMimi game ukianza siwezi kuconcetrate na simu Kwa kweli[emoji28][emoji28]
Ukipenda kitu unakuwa Kama Teja *****...Wacha tusubiri kipindi cha pili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisaMkuu Watanzania ni wanafiki sana,hilo lisikusumbie,bila Manula pale Mikia mngekula 2 mpaka sasa
Hapa tunamsema wa KilomberoYule Manula wa uto au simba?
Usituponze mzee, tukifunguka twafa[emoji1].Second half tuwape mshtuko. Tuwashambulie.[emoji3]
Sawa Brother Julio. Tutafanyia kazi maoni yako.Rudisha Kanoute namba nane.
Rudisha Mkude namba sita.
Rudisha Inonga namba tano kitasa,weka Wawa nje.
Bwalya aingie.
Kapombe aendelee namba saba ili kufanya back up ya defance kwa Israel.
toa Mugalu weka MK14.
hapo kidogo timu itakua na balance.