Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Hadi HT, kocha kachanga karata vyema... Tatizo wachezaji nao wanapiga mipira ya juu... Waweke boli chini, goli lipo...

Atoke Israh aingie Banda kwaajili ya kaunta ataki....
 
Rudisha Kanoute namba nane.
Rudisha Mkude namba sita.
Rudisha Inonga namba tano kitasa,weka Wawa nje.
Bwalya aingie.
Kapombe aendelee namba saba ili kufanya back up ya defance kwa Israel.
toa Mugalu weka MK14.
hapo kidogo timu itakua na balance.
 
Wataanza kipindi cha pili km walivyokianza cha kwanza, Simba wakomae nao, Manula tuokoe, kina Wawa wapumguze foul karibia na goli letu
 
Rudisha Kanoute namba nane.
Rudisha Mkude namba sita.
Rudisha Inonga namba tano kitasa,weka Wawa nje.
Bwalya aingie.
Kapombe aendelee namba saba ili kufanya back up ya defance kwa Israel.
toa Mugalu weka MK14.
hapo kidogo timu itakua na balance.
Sawa Brother Julio. Tutafanyia kazi maoni yako.
 
Back
Top Bottom