Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu Watanzania ni wanafiki sana,hilo lisikusumbie,bila Manula pale Mikia mngekula 2 mpaka sasaManula kafanya kitu kikubwa sana sema ndio hivyo tumekuwa wepesi sana kusahau moments kama hizi pindi akoseapo kosa moja linafuta mema yote kama ya leo