Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Oralando bana sasa kuwazuia viongozi wa simba kuingia uwanjani ndio nini sasa?
 
Kwa kikosi hiki, sijui, ika kocha ni muoga kuliko maelezo, atakaribisha mashambulizi ambayo nina wasi wasi na umakini wetu
 
Oralando bana sasa kuwazuia viongozi wa simba kuingia uwanjani ndio nini sasa?

Hii mechi Simba akimtoa OP basi usalama wa wachezaji uko hatarini ama hata wakitolewa tu SSC same ting coz ya chuki iliyopandikizwa. Soweto sio poa Kwa Zul natal
 
Naitakia Simba kila la heri kusonga mbele zidi ya Orlando...
 
Kwa mbali nawasikia wazulu wanaimba "hawaamini macho yao"
 
Hii mechi yetu tena tumetupia uzi mwekundu tushashinda mapema sana
 
Pira biriani karibia lianze, dua nyingi kwa mnyama inshallah
JPEG_20220424_175429_6224449743217152653.jpg
 
Hawa wazulu wana aina yao ya ushangiliaji yani mpaka plate number
 
Back
Top Bottom