SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Mfumo; 6-2-2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!..leo ni kupaki basi tuKikosi cha Simba SC KinachoanzaView attachment 2199141
Duh!..Kwa kikosi hiki simba isiwe na tumaini hata la asilimia moja .hii timu ya simba haiwezi kupata hata short on target moja wala kona.kiufupi kama kocha alipangwa kupanga timu bora asingeenda soweto.hapa anakula sio chini ya goli tatu.kariri hii comment yangu.
Sasa Kuna wachezaji wengine wa Simba zaidi ya hawa?Kwa KOSI hili, Orlando kapewa ruhusa ya kushambulia atakavyo.
Baadae leo tuta ongea lugha mojaKumbe na nyinyi mnafatilia CAFCC? Nilijua mpo busy na NBC.
Naziona 5 hapaKikosi cha Simba SC KinachoanzaView attachment 2199141
Kikosi cha Simba SC KinachoanzaView attachment 2199141
3:4:3
Kwa hiki kikosi, ikitokea first half imesha bila-bila basi tunafuzu mapema tu.Kikosi cha Simba SC KinachoanzaView attachment 2199141
Hayo ni malengo, kwanza linda ushindi ulionao, pili tafuta goli kwa counter attack, mnataka Simba SC ajiachie kizembe afungwe 4 muanze kuchekelea kizembe..Beki sita. Jumlisha na Mkude na Kanoute (mids za kukaba) jumla nane!
[emoji1][emoji1][emoji1] Hii ni zaidi ya kumheshimu mpinzani.
Nilipo kiona tu kikosi swali la kwanza kunijia ni je tukitanguliwa goli mbili fasta itakuaje kwa kikosi hiki?Kwa hiki kikosi, ikitokea first half imesha bila-bila basi tunafuzu mapema tu.
Shidi ni ikitokea mfumo ukafeli kisha tukaruhudu goli kipindi cha kwanza, mambo yatakuwa magumu sana.
NB: Hapo ni kukaba mwanzo mwisho maana hakuna wachezaji wa kumiliki mpira, wachezaji watahitaji mapafu ya mbwa leo😄.